Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Yaani kila mtu anakuja na ngonjera zakeKwa sababu mpo kutunga uongo mitandaoni, ni swala la muda tu mtachanganyikiwa!
Yaani kila mtu anakuja na ngonjera zakeKwa sababu mpo kutunga uongo mitandaoni, ni swala la muda tu mtachanganyikiwa!
Hi Nubimsa
Ndo muelewe watu wanapodai katiba mpyaNchi inavituko sana, wakuu wa mikoa wametoka ofisini kwenda kwenye vikao vya chama huku nyuma watalipwa mishahara na posho ya safari huku wanafanya mambo ya CCM.
Reforms ni muhimu sana.
🤣 🤣 🤣 Hatuna Rais... Yaani anaacha kufanya issue serious ya kupata wawakilishi anaenda kukutana na WaremboMbona yupo kisiwani na mrembo wa dunia!
Gwajima !Nani huyo kajificha??
Nchi imelaanikaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.View attachment 3412091
Una jina zuri sana.Mhhh
Nini tena ??!"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Ukisusa, wenzio twala!Una susa,susa!!!
Inanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na mkuu wa idara fulani mahali fulani. Pale kwenye taasisi yake kukiwa na wageni kutoka JUU ilikuwa ni kawaida yake kabla au baada ya wageni kuondoka . Alikuwa na yeye anaondoka na kupotea kwa muda wa siku kati ya 3 hadi 4. Ilifika mahali tukaanza kuzoea. Baadae watz wakaanza kufanya uchunguzi, hivi huwa anaenda wapi? Hatimaye ikaja kubainika kuwa huwa anaenda kwa mtalaam wake ambaye alikuwa anamnyooshea mambo yake inapoonekana yanaenda mrama 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Yote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Ukiwepo na weweKwa sababu mpo kutunga uongo mitandaoni, ni swala la muda tu mtachanganyikiwa!
Mafisadi na majizi wa Mali za umma,mumebanwa sana,mpaka mnaweweseka"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Mafisadi na mijizi wa Mali za umma,mumebanwa sana,mnawewesekaYote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele