NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Mao Tse Tung aliwahi kusema, BOMBARD THE HEAD QUARTERS!!
Huo ulikuwa wakati wa Cultural Revolution, August 6th , 1966.
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
"Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi waPo, basi vikao vianze..."

Thubutu!
Huyo mtu anajisemea tu, bila kujuwa anacho kisema.

Ndio maana tunasema, CCM imetekwa.; chama hakiPo; ni jina lake linatumika tu sasa na hilo GENGE lililo kiteka chama.
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU

The Second Coming.

W.B Yeats.

Turning and turning in the widening gyre
The falcon cannot hear the falconer;
Things fall apart; the centre cannot hold;
Mere anarchy is loosed upon the world,
The blood-dimmed tide is loosed, and everywhere
The ceremony of innocence is drowned;
The best lack all conviction, while the worst
Are full of passionate intensity.

Surely some revelation is at hand;
Surely the Second Coming is at hand.
The Second Coming! Hardly are those words out
When a vast image out of Spiritus Mundi
Troubles my sight: somewhere in sands of the desert
A shape with lion body and the head of a man,
A gaze blank and pitiless as the sun,
Is moving its slow thighs, while all about it
Reel shadows of the indignant desert birds.
The darkness drops again; but now I know
That twenty centuries of stony sleep
Were vexed to nightmare by a rocking cradle,
And what rough beast, its hour come round at last,
Slouches towards Bethlehem to be born?
 
Can't believe it's a Product of your mind, so attribution is in order.
 
Surely some revelation is at hand
Mwongozo please:Who are are best and who are the worst?
W

Mwongozo: Who are the best and are the worst? What revelation is at hand? The rough beast its hour come around?
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Wahuni sio watu😂😂😂
downloadfile.jpg
 
The best lack all conviction, while the worst
Are full of passionate intensity.
Surely some revelation is at hand
Mwongozo please:Who are are best and who are the worst?
W

Mwongozo: Who are the best and are the worst? What revelation is at hand? The rough beast its hour come around?
Unaumiza kichwa bure kwa kutafuta tafsiri ya jambo la kusadikika; creation of the idle mind!
 
ningekuwa Mimi ni yeye ningepumzika tu. miaka SITA ya u-vice, miNNE ya uprezidaa inatosha kabisa! ningepumzika kwa ajili ya kucheza na wajukuu
 
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."

NUKUU
Nukuu kutoka wapi?
 
The best lack all conviction, while the worst
Are full of passionate intensity.
Surely some revelation is at hand
Mwongozo please:Who are are best and who are the worst?
W

Mwongozo: Who are the best and are the worst? What revelation is at hand? The rough beast its hour come around?
Kuna mzee wangu mmoja alisoma vizuri, akafaulu vizuri, akafanya kazi serikalini mpaka juu kabisa kuongoza taasisi moja nyeti, kwa kazi ya kuteuliwa na rais.

Solid patriot, well educated, well travelled, humble as could be.

Alivyostaafu, alipata wazo la kugombea ubunge. Taasisi aliyoiongoza viobgozi wake walikuwa na historia ya kugombea ubunge. In fact hata watu ambao hawakufika juu kabisa walienda kugombea ubunge.

Sasa yule mzee, akaanza kuangalia process ya kugombea ubunge. Akagundua kuwa iki kuwa mbunge inambidi qfanye siasa za makanisani sana, aongope sana, atoe rushwa sana.

Alikuwa mtu wa imani sana. Akasema ataomba Bwana amuongoze kufanya maamuzi. Baadaye Akasema kuwa hakufunguliwa kugombea ubunge. Hatagombea.

Kwa sababu aliona rushwa sana, siasa za udini sana, uongo sana katika process ya kupata ubunge.

Wakati huo huo, watu wasio makini, wasio na principle, wasio na integrity wamegombea ubunge mpaka urais, wakaongoza nchi.

Ndipo hapo utaona the best lack conviction while the worst prevail.

Is Samia the best person to be our president? Not by far.

How did we get such a person to be president?

The best lacked conviction.
 
Sasa kumekuchaaaa 🎹🎤🎤🎹🎶🎶
 
Back
Top Bottom