Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Majizi na mafisadi mumebanwa sana,mnawewesekaKaonekana huko anafanya vikao na warembo ila mazingira ni kama kwenye chumba cha kulala au korido wamezungushia matambara ya bendera.
Majizi na mafisadi mumebanwa sana,mnawewesekaKaonekana huko anafanya vikao na warembo ila mazingira ni kama kwenye chumba cha kulala au korido wamezungushia matambara ya bendera.
Mafisadi na majizi mumebanwa sana mnaweweseka🤣 🤣 🤣 Hatuna Rais... Yaani anaacha kufanya issue serious ya kupata wawakilishi anaenda kukutana na Warembo
chocheeni kuni makande ya karibu kuiva"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Mburukenge we nyumbu"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Watu fitna, vizabizabina..mpo!Yote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele
Atakua ni mmamaNani huyo kajificha??
Nani kabanwa? Kuna mwizi,fisadi na kibaka zaidi ya bibi yenu? Aliyeuza bandari kwa waarabu,anayeuza mbuga za wanyama,anayehonga kila kinachopita mbele yake anahonga mpaka baiskeli kibaka mkubwaMajizi na mafisadi mumebanwa sana,mnaweweseka
Lhee vaiHebu ongeeni polepole, mnasema
Ajiuzulu"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Yaani awamu hii ndo ya kuwabana majizi!Majizi na mafisadi mumebanwa sana,mnaweweseka
Kagame alimuonya magu kuhusu kikwete na akamwambia nini cha kufanya,mnakumbuka hili?Yote haya ni hila za kikwete na hatma ya uongozi wa nchi......alifanya uhuni wa kupindisha michakato 2015 ili ampate Membe au Januari au Asha rose migiro au Amina ambao vibonde kwake......watu wa lowassa wakampa Magufuli.....ikawa pigo kwake na ccm ikagawanyika na kiasi kikubwa ilikuwa ife sabubu ya huyu mzee wa njama njama......hii 2025 ameingia na gia ya kuchomekea jina la samia kwa njama njama kwenye kikao ambapo yeye siye msemeya wajumbe.......mjumbe mmojakwa ujasiri akahoji HATUWEZI KUMJADILI MWENYEKITI NA MAKAMU WAKIWA HAPA MBELE YETU WAENDE NJE KUPISHA KUWAJADILI........mamayenu kastuka akagoma kwenda nje kujadiliwa......uhuni tu.....kikwete sio wa kutupangia......wastaafu wanawashwa washwa wanavuga utaratibu kwa maslahi yake tamaa mbele mbele
Upo na hoja usikilizwe"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi wapo, basi vikao vianze, hili jambo liishe sasa."
NUKUU
Hahaaaaaa. Nani huyu?