Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu uko vizuri sana kwenye kutoa ufafanuzi, mie pia nilipenda home theatre matata huko amazon ila wauzaji walinikatisha tamaa kuwa hawasafirishi kuja TZ, kwa hapa inakuwaje mkuu ikiwa bado nitahitaji niifikishe bongo?
 
Futa hatua hizi.
1. Nipatie link ya item husika.
2. Nitakupa ghalama ya kusafirisha hadi TZ, sambamba na ghalama ya kununulia
3. Utafanya malipo kwa utaratibu nilio uweka hapo juu
4. Manunuzi yatafanyika na mzigo utasafirishwa kuja Tanzania - Utapewa tracking number ya mzigo wako.
 
Kwa huduma PAY4ME & BUY4ME
- Waweza kuwasilina nami kwa whatsap +255 784 496 856
- Ukiwa mahala popote pale Tanzania au Nje ya Tanzania
 
Tabs nzuli kwa wanachuo
Code:
 http://www.gearbest.com/promotion-january-tablet-deals-special-1144.html

Tabs nzuli kwa wanachuo
Code:
 http://www.gearbest.com/promotion-january-tablet-deals-special-1144.html

View attachment 461105
Kaka hiyo mambo pesa ngapi mpaka inanifikia hapa jijini dar es salaam, naomba kufahamu. Ili nijipange kuikamata inisaidie kusoma kwa wepesi hapa chuo.
 
Kaka hiyo mambo pesa ngapi mpaka inanifikia hapa jijini dar es salaam, naomba kufahamu. Ili nijipange kuikamata inisaidie kusoma kwa wepesi hapa chuo.
- Inategemea na model ya item uliyochagua. Fungua hiyo link kuna items nying tofauti
- Inategemea shipping uliyochagua - Njia ya haraka ni siku 3 - 7, njia ya kawaida ni siku 14 - 28

Nini cha kufanya
1. Fungua hii link:
The Best Tablet TECLAST TBOOK Flash Sale from Just $69.99 - GearBest.com

2. Chagua item utakayovutiwa nayo.
3. Nipe link na nitakupa ghalama ya kuifikisha hapa TZ

Mfano
- Mimi binafsi nimechukua Jumper Ezbook 2 Ultrabook Laptop
- Nimevutiwa na reviews zake na uwezo wa kutunza charge, ambapo kwa matumizi makubwa waweza fikisha masaa 8 na kwa matumizi ya kawaida hadi masaa 12
- Ina Display iliyo bora zaidi

Manunuzi na shipping nimetumia USD $239.80

Code:
>>https://www.amazon.com/Dell-Inspiron-i7559-2512BLK-Generation-GeForce/dp/B015PYZ0J6/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=_&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B015PYZ0J6<<
 
Habari ndugu Tombstone Piledrive

Link uliyoweka haionekani.

Ili link ionekane vyema tumiae NENO Code & hizi alama [ ] mwanzoni na mwishoni mwa link, Angalia hii picha
Code:
  >>WEKA LINK HAPA <<
View attachment 461933

Code:
https://www.amazon.com/Dell-Inspiron-i7559-2512BLK-Generation-GeForce/dp/B015PYZ0J6/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=_&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B015PYZ0J6
 
Code:
>>https://www.amazon.com/Dell-Inspiron-i7559-2512BLK-Generation-GeForce/dp/B015PYZ0J6/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=_&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B015PYZ0J6<<

Nipe muda ili nipate jibu toka kwa seller iwapo (a) Atatuma moja kwamoja kuja Tanzania au (b) Mzigo upokelewe kwanza katika ofisi ya New York - USA ndipo isafirishwe kuja Tanzania.

Nitakujulisha ghalama kamili baada ya kupata jibu.

Ahsante
 
Code:
>>https://www.amazon.com/Dell-Inspiron-i7559-2512BLK-Generation-GeForce/dp/B015PYZ0J6/ref=as_sl_pc_tf_til?tag=_&linkCode=w00&linkId=&creativeASIN=B015PYZ0J6<<
Seller hatumi nje ya USA, hivyo
- Mzigo utapokelewa USA
- Ndipo utatumwa kuja Tanzania
- Ghalama ya kusafirisha hadi TZ ni USD $121.54 ( hii ni kutokana na uzito wake)

Hivyo manunuzi na Kuufikisha mzigo katika ofisi za USA ni USD $805.66

Kuusafirisha mzigo hadi TZ ni USD $121.54

Jumla USD $927.2
 
mkuu nauchukua mkononi mwako? na pia wewe ni middle man, je nikikuta si wenyewe inakuaje?
 
Nitakutafuta ukiwa na ofisi maalumu kwa sasa naogopa Mimi

stop wishing start doing
 
mkuu nauchukua mkononi mwako?
Ndio utachukua mikononi mwangu. Baada ya kukagua na kuhakiki kuwa mzigo ni wenyewe
je nikikuta si wenyewe inakuaje?
Iwapo muuzaji ametuma mzigo ambao si wenyewe au mzigo unakasoro
  • Hautopaswa kuuchukua, Mzigo utabaki kwangu na nitashughulikia hili swala kwa ukaribu
  • Kumbuka muuzaji hupewa fedha baada ya kuthibitisha kuwa mzigo nimepokea na uko sawa.
Kwa kila manunuzi yafanyikayo baada ya mzigo kutumwa huwa kuna hizi option pichani

Option ya pili kutoka juu, Ndicho kipengele kinachotuhusu, na sababu zetu ni moja kati ya hizi (nimezungushia kwa blue)

Hivyo ondoa shaka. Katika hili uko salama
 
Attachments

  • upload_2017-1-20_15-3-35.png
    3.6 KB · Views: 108
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…