mtandaoni siipati kama waweza ipata naomba unisaidi3 mkuu na bei piaLink haifunguki.
Iweke vyema
haipungui mkuuTZS 100,170
New Asus Zenfone Pegasus 4S Max Plus X018DC 4G RAM 32G ROM 5.7 inch Octa Core 3 Cameras Android 7.0 4130mAh Smart Mobile PhoneLink haifunguki.
Iweke vyema
New Asus Zenfone Pegasus 4S Max Plus X018DC 4G RAM 32G ROM 5.7 inch Octa Core 3 Cameras Android 7.0 4130mAh Smart Mobile Phone
Ahsante sana Mkuu,Hii simu haipo sokoni kwa sasa.
Ni pre-order
Itachukua muda mrefu: Zaidi ya siku 30 hadi kutufikia Tanzania iwapo tutalipia sasa.
View attachment 920186
View attachment 920190
Ghalama: TZS 1,581,255Naomba utaratibu wa kuipata hii
Ipo Aliexpress
Gharama uliyotaja ya shilingi za kitanzania 1,581,255 bila senti.. Hazijumuishi hayo malipo mengine uliyoorodhesha?View attachment 920746
Ghalama: TZS 1,581,255
Njia ya malipo: (a) Bank Deposit au (b) Mobile banking - Utachagua mojawapo
Muda: Ndani ya siku 14 hadi 21
Ghalama za ziada: BAADA YA MZIGO KUFIKA NCHINI
1. Swisport charges + Clearance & Handling Charges na kampuni husika baada ya mzigo kufika nchini
2. Kodi/ VAT - Mamlaka husika itatujulisha baada ya mzigo kuwasili
KARIBU
Ni Sahihi hazijumuishi hayo malipo mengine.Hazijumuishi hayo malipo mengine uliyoorodhesha?
Sawa ngoja nijiweke sawa sio mzigo unafika ndio naanza kutafuta ushuruSahihi, Sababu
Hatufahamu tozo la TAX/ VAT itakuwa ni kiasi gani - mamlaka husika itatujulisha wakati wakati taratibu wa kuutoa mzigo
1. ili kujua makadirio ya ushuru waweza fanya print out ya huo ukurasa husika na kufika ofisi za TRA zilizo karibu nawe ili wakuangalizie HS code yake na ghalama utakayotakiwa kulipiaSawa ngoja nijiweke sawa sio mzigo unafika ndio naanza kutafuta ushuru
Sawa kabisa nitafanya hivyoili kujua makadirio ya ushuru waweza fanya print out ya huo ukurasa husika na kufika ofisi za TRA zilizo karibu nawe ili wakuangalizie HS code yake na ghalama utakayotakiwa kulipia
Itachukua mda ganiTZS 577,170