Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mtandaoni siipati kama waweza ipata naomba unisaidi3 mkuu na bei pia
TZS 100,170

Ihakiki simu husika.
1541251241192.png
 
Hii simu haipo sokoni kwa sasa.

Ni pre-order

Itachukua muda mrefu: Zaidi ya siku 30 hadi kutufikia Tanzania iwapo tutalipia sasa.
New Asus Zenfone Pegasus 4S Max Plus X018DC 4G RAM 32G ROM 5.7 inch Octa Core 3 Cameras Android 7.0 4130mAh Smart Mobile Phone
1541252510613.png


1541252555259.png
 
1541311161973.png

Item URL: bit.ly/2Rz6zIV
Naomba utaratibu wa kuipata hii
Ipo Aliexpress
Ghalama: TZS 1,581,255
Njia ya malipo: (a) Bank Deposit au (b) Mobile banking - Utachagua mojawapo
Muda: Ndani ya siku 14 hadi 21

Ghalama za ziada: BAADA YA MZIGO KUFIKA NCHINI
1. Swisport charges + Clearance & Handling Charges - Zitalipwa kwa kampuni husika baada ya mzigo kufika nchini.
2. Kodi/ VAT - Mamlaka husika itatujulisha kiwango cha kulipia baada ya mzigo kuwasili

KARIBU
 
View attachment 920746

Ghalama: TZS 1,581,255
Njia ya malipo: (a) Bank Deposit au (b) Mobile banking - Utachagua mojawapo
Muda: Ndani ya siku 14 hadi 21

Ghalama za ziada: BAADA YA MZIGO KUFIKA NCHINI
1. Swisport charges + Clearance & Handling Charges na kampuni husika baada ya mzigo kufika nchini
2. Kodi/ VAT - Mamlaka husika itatujulisha baada ya mzigo kuwasili

KARIBU
Gharama uliyotaja ya shilingi za kitanzania 1,581,255 bila senti.. Hazijumuishi hayo malipo mengine uliyoorodhesha?
 
Hazijumuishi hayo malipo mengine uliyoorodhesha?
Ni Sahihi hazijumuishi hayo malipo mengine.
Sababu
- Hatufahamu tozo la TAX/ VAT itakuwa ni kiasi gani - mamlaka husika itatujulisha wakati tukiendelea na taratibu za kuutoa mzigo.
 
Sahihi, Sababu
Hatufahamu tozo la TAX/ VAT itakuwa ni kiasi gani - mamlaka husika itatujulisha wakati wakati taratibu wa kuutoa mzigo
Sawa ngoja nijiweke sawa sio mzigo unafika ndio naanza kutafuta ushuru
 
Sawa ngoja nijiweke sawa sio mzigo unafika ndio naanza kutafuta ushuru
1. ili kujua makadirio ya ushuru waweza fanya print out ya huo ukurasa husika na kufika ofisi za TRA zilizo karibu nawe ili wakuangalizie HS code yake na ghalama utakayotakiwa kulipia

2. Nina matumaini ghalama ya kodi/ vat haitokuwa kubwa sababu invoice itasoma thamani ya mzigo yaa ni USD 215 tu.
 
ili kujua makadirio ya ushuru waweza fanya print out ya huo ukurasa husika na kufika ofisi za TRA zilizo karibu nawe ili wakuangalizie HS code yake na ghalama utakayotakiwa kulipia
Sawa kabisa nitafanya hivyo
 
Hongera Mwl. Kwa huduma zako. Najua wateja wako wa awali ulishatusahau kabisa. Umetusaidia wengi saana. Na uliniagizia vitu tofautitofauti vyenye thamani takribani 2m
 
Back
Top Bottom