Mkuu ofisi yao inapatikana wapiNenda ofisini kwao mkuu kama uko Dar, hata kama hauko dar lkn una mtu kule unaweza kumuomba akakusaidia kufatilia. At least wangekupa taarifa ya mzigo kudelay kutokana na hali ya corona ilivyosababisha mambo kusimama.
ulienda?Mkuu ofisi yao inapatikana wapi
ulienda?
Sina hakina mkuu ila ninahisi atakuwa na tatizo maana jamaa ni mwaminifu mimi simjui personally ila nilikuwaga namtumia ela nliyokuwa napokea skrill ye ananitumiampesa mara kadhaa. Haya mambo ya kuagizia watu mizigo yana changamoto sana naona faiza ally tu ndo kayamuduMwalimu ana ofisi kwani?
anzisha uzi wako acha kuharibu uzi wa mtu mwingine.....Karibu unique aircargo wasasfirshaji wa mzigo kwa njia ya anga
Tunabeba mizigo ya aina zote na bei ni nafuu kabisa
Mzigo ya kawaida n idola 13 kwa kilo ukiwa na mzigo mkubwa kuna discount
Mzigo yenye battery ndan ni dola 15 kwa kilo
Simu tunasafirsha na bei n idola 20 kwa simu moja
Mzigo unachukua siku za kazi 5-8
Ofisi zetu zipo kariakoo mtaa wa pemba na livingstone
jengo la bisnlum plaza second floor s15
call 0652472486
na china add 广州市荔湾区 岭南湾畔 西湾路.湾畔大街C1栋1206 (马查)18617335150.
au kujua shipping days zetu you can join our group
unique cargo 2View attachment 1500169
Anapatikana kwa namba gani muda huu?
Telegram mbona katibu ofisini kwao ni maeneo ganiTelegram huwa nawasiliana nae
HajibuTelegram mbona katibu ofisini kwao ni maeneo gani
Kuhusu utapeli kwa huyu Bwana hapana usimchafulie jina..amenihudumia zaidi ya Mara tatu na mizigo yote ilifika salama..Mara ya mwisho ameninunulia mzigo wa mil.1.5.
Mkuu hakuna anaye Jua ofisi yake ilipo tumfuate ukimya huu unatutia mashaka wakuu hebu tujuzeni kama mnapata any feedbackMwl.RCT
Uko wapi ? ?
Kweli amepotea Mungu amssidie arejee tena. Jamaa ni mwaminifu sana nimeshamtumia kuagizw bidhaa mara tatu .Sina hakina mkuu ila ninahisi atakuwa na tatizo maana jamaa ni mwaminifu mimi simjui personally ila nilikuwaga namtumia ela nliyokuwa napokea skrill ye ananitumiampesa mara kadhaa. Haya mambo ya kuagizia watu mizigo yana changamoto sana naona faiza ally tu ndo kayamudu
Last seen long time ago....Telegram mbona katibu ofisini kwao ni maeneo gani
Sidhani kama shida ni kuaminika nahisi amepata tatizo au yuko njenya mtandao . Mkuu huyu yu mwaminifu sanaNdio taabu ya kumwamini mtu
Uliongea nae kwa namba ipi?Niliongea na Mwl RTC jana kupitia simu. Alinambia alikubana na changamoto. Lakini atarejea hivi karibu. Tuvute subira.
Huyu jamaa kachukua hela za watu, kuna washikaji ka wawili wanamlalamikia, hajibu na amewablock.Mkuu hakuna anaye Jua ofisi yake ilipo tumfuate ukimya huu unatutia mashaka wakuu hebu tujuzeni kama mnapata any feedback
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app