http://www.ebay.com/p/Canon-EOS-5D-Mark-IV-30-4MP-Digital-SLR-Camera-Black-Body-Only/230154655 /URL]1. Fungua hiyo link
2. Chagua bidhaa uipendayo.
3. Nipe link yake
4. Ndipo nitakupa mchanganuo wa ghalama kufikisha bidhaa hapa nchini.
KARIBU
View attachment 475602
Link uliyotuma inamakosa
Weka link kwa kufuata huo utaratibu neno code na alama kama nilivyo onyesha
karibu
http://www.ebay.com/p/Canon-EOS-5D-Mark-IV-30-4MP-Digital-SLR-Camera-Black-Body-Only/230154655[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b4f8e618cda3a3daa8de8b0ae8206691.
hii link inamakosa umechanganya link mbili ebay na jfCode:http://[COLOR=#ff0000]www.ebay.com[/COLOR]/p/Canon-EOS-5D-Mark-IV-30-4MP-Digital-SLR-Camera-Black-Body-Only/230154655[COLOR=#ff0000][IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile[/COLOR]-gallery/b4f8e618cda3a3daa8de8b0ae8206691.
Powa haina shindaVP mkuu uricheki
Kaka turikuwa tunaongea biashara hiii bya sumuni. NIKONI D 90 / NIKONI D 5300
Ndugu Behaviourist
Nimepokea malipo uliyofanya kiasi cha USD $272.33
Order yako imekamilika.
View attachment 464775
Mzigo utapokelewa New York City kati ya Tarehe 02/02/2017 hadi 07/02/2017
View attachment 464776
View attachment 468316
Mzigo tayari kwa kusafirishwa kuja Tanzania
Nitakupatia tracking number ili uweze kuufutilia vyema mzigo hadi unafika nchini.
Habari,ndugu MAGARI7
Hakuna 7s tusubiri September 2017 tusikie toleo jipya toka kwa kampuni ya apple.
Una machaguo mawili kwa sasa: iPhone 7 & iPhone 7 Plus
Pia chagua size kati ya hizi: 32GB/ 128GB & 256GB
karibu
Hongera sana!!Mkuu Mwl.RCT asante kwa kazi nzuri ulionifanyia kwani smart TV yangu nimeipokea na ni brand ileile niliyoagiza!.....smart TV yangu nimeshaifunga gheto tayari na kila kitu ni kipya,TV imekuja katika hali yake nzuri kabisa utafikiri nimeinunua dukani kwa jirani kumbe nimeinunua kutoka marekani!......Kampuni ya Aramex iliyosafirisha mzigo wangu ni wataalam sana wa kufunga mzigo kwani smart TV yangu nimeikuta kwenye package ya box mbili kiasi kwamba iliposafirishwa na basi hadi huku nilipo nimeikuta ni salama kabisa japo iliwekwa kwenye buti lakini kwa ufungaji ule box lake halikubonyea hata nukta ni kama vile mtu ameleta kwa kubeba kichwani!!.......Mkuu nakushukuru sana sana na endelea na moyo huo huo wa kuwasaidia Watanzania!........Leo sina uhakika kama nitalala kwani naexprience picha katika ubora wa wa hali ya juu wa 1080p!!
Asante mkuu!.....mpaka mida hii bado sijalala nipo kwenye HD!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera sana!!
Hahah, sawa sawa!Asante mkuu!.....mpaka mida hii bado sijalala nipo kwenye HD!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilinunua kutoka amazon mkuuHahah, sawa sawa!
Ukiizoea utaona kawaida tuu!!
Ulichukulia mtandao gani?
Pia bongera zako ndugu rct, kazi nzuri!!
Ngoja nizamie nione namie nitachokipenda, nimpe support My fellow business manNilinunua kutoka amazon mkuu
ingia Alibaba or TVS MOTORS then sachi Tvs KingNataka bajaji zile za India, tvs, na pia drip zine za kilimo, link gani naweza peruzi