Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nimeona hiyo picha ila haikutumwa picha inayoweza kuonekana injin yote.
Nilikuuliza #mwal.RCT.
Hatua ya kwanza | Chagua engine husika hapa | Used Engine, Used Engine direct from TAIWAN HEAVY DUTY TRUCK PARTS INDUSTRY CO., LTD. in TW

Hatua ya pili | Nijulishe ni ipi umechagua.

Hatua ya Tatu| nitawasiliana na muuzaji ili kupata Picha zaidi na video ikiwezekana

Hatua ya Nne | makubaliano ya bei ya manunuzi na kusafirisha

Hatua ya Tano | Nitakupa PI tayari kwa taratibu za malipo.
 
MIMI Nahitaji KUBOTA D1105 cylinder head kama unaweza kunipatia
 
KUBOTA D1105 cylinder head
Habari Ndugu Youth
- Ndio waweza kupata

Je ni model ipi kati ya hizi
1. D1105-EB (KU-KEACK-16030 )
2. D1105-E3BG (KU-KEACK-1G065)
3. D1105-E4B (KU-KEACK-1J096 )

Bei | $1,474.38 | Genuine Kubota Complete Cylinder Head Kit

- Hiyo ni gharama ya manunuzi tu, Bado kuna ghalama ya kusafirisha na kodi baada ya mzigo kuwasili nchini.
 
Ni 3. D1105-E4B (KU-KEACK-1J096 ) Nipigie hesqabu na gharama ya usafiri nione kama nta afford.
 
Maswala ya kodi
 
Bei | $1,474.38 | Genuine Kubota Complete Cylinder Head Kit
Ni 3. D1105-E4B (KU-KEACK-1J096 ) Nipigie hesqabu na gharama ya usafiri nione kama nta afford.
New Complete Cylinder Head + Full Gasket Kit For Kubota D1105 Engine




Bei TZS. ‭3,685,950‬ | Hadi kuifikisha Dar

NB: Import duties, taxes and charges are not included | Mzigo ukifika Mamlaka husika watatujulisha kiasi cha kulipia.
 
Nimeona kumbe ina bei, maana hapo bado ushuru itabidi nijipange, nikifanikisha ntakurudia.
 
Mheshimiwa mtaalamu nauliza bidhaa ya betri 1.5v za kuchaji kwa ajili ya Microphone tunaweza kupataje?
 
Tunataka kwasasa idadi iwe 30pcs,sijajua kama wanauza jumla na chaja zake.
30pcs | TZS. ‭632,400 | https://www.aliexpress.com/item/1005002378953699.html?spm=a2g0o.cart.0.0.190738da8OHlyf&mp=1‬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…