Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

muda gani mpaka kuzipata?
Wiki 3
Utanijulisha kati ya njia A au B ipi unahitaji kutumia.
 

  • Angalia muuzaji mwingine
  • Huyu muuzaji Ghalama ya usafirishaji aliyoiweka ina makosa
 
Sehemu kubwa gharama ya usafirishaji ni kama zinafanana ni kubwa sana kuliko hata ya kununulia mara nyingi!

TZS. ‭150,450‬

=
Utanijulisha 'chaja' uliyochagua kati ya hizi tatu.
 
Betri 30pcs = 632,400
Chaja 1pcs = 79,050

Jumla = ‭711,450‬
Asante sana mheshimiwa kwa kazi njema.MUNGU AKITUJAALIA TUTAWASILIANA.Kikubwa cha kupendeza una bidii kujibu mapema bila kujivuta vuta.Hiyo ni nzuri sana maana wengi wetu huwa hatuzingatii sana kwenda na muda jambo ambalo siyo jema kwa maendeleo ya mtu binafsi N.K.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…