Ndio zote ni free shipping, kwa simu yeyote utakayo chaguamkuu izi bei nnazoiona uku ni pamoja usafiri au? maana zote wameandika free shipping
owkey! Then ni wapi naweza pata jewelry items (rings, chains, necklace, et.c) kwa bei nafuu ya jumla.?Ndio zote ni free shipping, kwa simu yeyote utakayo chagua
Ila ni vyema tukalipia kati ya usd 3 - 8 kama shipping cost ili tupewe tracking number
Ni jukumu langu kuhakikisha mzigo unakufikia baada ya kuulipia.Mkuu safi sana, kuna mzigo nahitaji toka usa nimetafuta bongo nimekosa, ila mlolongo sipendi, yaani nitakoupouhitaji mi nataka nikulipe gharama za kila tu, uprocesa every thing mwenyewe
Iwapo items zote utanunua kwenye store moja, kwa muuzaji mmoja basi mzigo utafika kwa pamoja.Alaf je? naweza agiza vitu tofauti katika duka (site moja e.g ebay, amazon) na vikasafirishwa kwa pamoja?
AnziaThen ni wapi naweza pata jewelry items (rings, chains, necklace, et.c) kwa bei nafuu ya jumla.?
ok. asante ngoja nifanye shoping nikujie whatsappIwapo items zote utanunua kwenye store moja, kwa muuzaji mmoja basi mzigo utafika kwa pamoja.
Ila ukinunua kwa wauzaji tofauti tofauti kila mzigo utafika kwa peke yake.
Anzia
- aliexpress .com
- Bangggod .com
Ni tapeli moja hivi lipo Dubai linajifanya Lina nunulia watu vitu... kuna Uzi wake humu JF na kawaliza wengi ikiwemo mimi.ndio nani mkuu?
Habari ndugu Charity24Mwl.RCT Mkuu naona kamzigo ketu kameshadanyiwa clearance airport. Inaonekana nitaupata leo
Habarikuna spea ya redio nahitaji ni site gani naweza ingia ambayo wanatuma mizigo kwa muda mfupi zaidi?
Hivyo ili mzigo ufike kwa muda mfupi - chagua express shipping kama DHL etlMkuu MWL heshima kwako. kuna spea ya redio nahitaji ni site gani naweza ingia ambayo wanatuma mizigo kwa muda mfupi zaidi? kuna moja uliniagizia kupitia aliexpress ilichukua karibu siku 40. asante
Asante mkuu nitakutaftaHabari
View attachment 454785
- Bidhaa zote ambazo ni free shipping (kwa njia ya posta) huchukua muda mrefu.
- Bidhaa hiyo hiyo ambayo awali ilichukua muda mrefu , Iwapo utachakua DHL / ARAMEX kama freight agent itachukua muda mfupi zaidi na huwa kati ya siku 5 - 9 unakuwa umepata bidhaa yako.
- Tuangalie mfano mmoja wa bidhaa ya ndugu Charity24 hapo juu - ambapo tulitumia DHL kusafirisha mzigo
Order imefayika tarehe 23/12/2016
Mzigo ukasafirishwa tarehe 24/12/2016
Mzigo ukapokelwa Tarehe 30/12/2016
Ni siku 6 tu mzigo umenunuliwa china na kufika kwa mmiliki tanzania
View attachment 454786
Ili kujua makadirio ya muda gani mzigo utachukua kufika TZ kwa free shipping pitia hii thread
- > Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
Hapo angalia post #15
Hivyo ili mzigo ufike kwa muda mfupi - chagua express shipping kama DHL etl
Bado aliexpress & ebay waweza kupata spare unazohitaji
Ndio ni muuzaji huwa ameweka wazi njia ya usafirishaji atakayotumia na ghalama zake.Pia Naomba kufahamu nikiingia eBay na kuchagua bidhaa nakuta kabisa wamenitajia shipping agent FedEx, je ni suppliers ndiye huchugua agents au mteja??
Order zote zilizofanyika wiki ya kwanza na wiki ya pili kwa mwezi December kumekuwa na delay isiyo ya kawaida.Mimi binafsi nimekoshwa saana na huduma ya Mwl. Japokuwa niliagiza mizigo mi5 na sijapokea mzigo hata moja. Ni muwazi saana, anatoa taarifa zooote unazohitaji hadi jinsi alivyofanya malipo pamoja na tracking number.