Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ndugu 4G LTE

A - Bei ya manunuzi ni USD $589. Ni free shipping kwa USA

B - Mzigo baada ya kupokelewa USA ndipo utasafirishwa kuja Tanzania - Kutakuwa na ghalama ya usafirishaji, ambayo itatokana na uztito wa bidhaa husika.

C - Kwa kuwa kwenye maelezo ya muuzaji hakuna Item Weight/ Shipping Weight , Uzito na ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania itajulikana baada ya kuupokea mzigo USA

D - Kutakuwa na awamu tatu za malipo - Rejea maelezo kuhusu masoko kundi B kwenye postin #1 & #2
  • Manunuzi, iko wazi USD $ 589
  • Ghalama ya usafirishaji kuja Tanzani - Itajulikana baada ya kupokea mzigo katika ofisi za USA
  • Ghalama ya VAT - Baada ya mzigo kufika mchini
Karibu
View attachment 464746
Asante sana mwl. Nayafikisha kwa mhusika then nione response yake.
Barikiwa sana.
 
Hii ni query yangu mwenyewe. Please assist me

IMG_20160909_192935.JPG
 
Ingia EBAY

Chagua link sahihi,

Kisha nipate hiyo link
Code:
 http://www.ebay.com/sch/i.html?_from=R40&_sacat=0&_nkw=ig2000+pull+start+ig2000&rt=nc&LH_BIN=1
Poa ngoja nichek nao
 
Napenda kuleta mrejesho kuhusu Mwl RCT, nimeshapokea mizigo miwili hapo awali kupitia Huduma yake. Hakuna ninadamu ambaye siyo mwoga. Mwanzoni nilinunua mizigo ya bei ndogo (160,000) ili nione kina cha maji. Mwishowe nikaagiza Mzigo wa cherehani ambao umenigharimu around 1,200,000/= ,juzi nimeupokea Mzigo huo ukiwa katika hali yake ya upya kabisa. Hivyo namshukuru Mwl.RCT kwa Huduma yake hii aongeze bidii, pia afungue ofisi rasmi ili asaidie wengi zaidi. Maana watz wengi hawaingii wana simu za kawaida kiasi kwamba hata WhatsApp au JF kwao ni ngumu kuitumia. Hivyo ongeza bidii man. Nikikaa kwenye laptop ntawatumia picha za mizigo niliyopokea
 
Ndugu Peaceforever
upload_2017-2-11_12-28-4.png

MCHANGANUO WA MANUNUZI YA
Dell Inspiron 13 7000 Series 13.3-Inch Convertible 2 in 1 Touchscreen Laptop (i7348-4286SLV)
NA KUFIKISHA HAPA TANZANIA

Malipo yatafanyika kwa awamu Tatu

1. Awamu ya kwanza: Utalipia Kiasi cha USD 819.17 - Manunuzi $808 na usafirishaji ndani ya USA $11

2. Awamu ya pili: Utalipia ghalama ya usafirishaji toka USA kuja Tanzania - Hii itatokana na uzito wa item husika

3. Awamu ya Tatu: Malipo ya VAT asilimia 18 - Hii hufanyika pindi item ifikapo nchini

Iwapo uko tayari kwa manunuzi nijulishe.
mkuu Mwl.RCT naomba mwongozo wako kwenye post yangu [HASHTAG]#267[/HASHTAG]
upload_2017-2-11_12-18-54.png


upload_2017-2-11_12-19-42.png


upload_2017-2-11_12-20-25.png
 
mkuu simu aina ya xiaomi redmi note 3 pro nitaipata kwa sh ngap
 
Vipi kuhusu bima? Uko Insured kama mizigo isippfika mteja atarudishiwa pesa??
 
Mkuu Mwl.RCT kuna jamaa yangu alinunua simu kwa mtandao wa eBay ,baadae Ile order eBay wakai cancel.Sasa hadi Leo hela yake hajarudishiwa tangu November 2016.AME contact nao sana but up to now hawajamrudishia.Je unamsaidiaje huyu nduguu?
 
Mkuu Mwl.RCT kuna jamaa yangu alinunua simu kwa mtandao wa eBay ,baadae Ile order eBay wakai cancel.Sasa hadi Leo hela yake hajarudishiwa tangu November 2016.AME contact nao sana but up to now hawajamrudishia.Je unamsaidiaje huyu nduguu?
- Ebay / Paypal wana taratibu nzuli, za kuhakikisha usalama wa fedha yako.
- Hakuna fedha inayoptea kwa ebay/ paypal iwapo umefuta taratibu husika na umetumika utaratibu sahihi kutaka refund.

Kwa kuwa siku 180 au bado hazijapita tangu afanye malipo, atapata fedha yake kupitia Paypal.
Kikubwa akumbuke tarehe aliyofanya malipo.
 
Habari Peaceforever

Kuna taarifa nazihitaji toka kwa seller.

Nimemtumia email, Akijibu nitakujulisha ili tuendelee na taratibu za manunuzi
Mkuu Mwl RCT,

Nina hitaji la haraka sana la hii device nawezaje kupata mkuu? naomba msaada wako.

EZ-AD TV | In-Store Digital Signage
Tumia +255 784 496 856 Whatsapp
upload_2017-2-16_16-36-27.png


Update 01
upload_2017-2-16_17-7-6.png


Tuvute subira kidogo, Then nitakupa mcanganuo
 

Attachments

  • upload_2017-2-16_16-38-45.png
    upload_2017-2-16_16-38-45.png
    7.4 KB · Views: 94
Back
Top Bottom