Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
URLNa hii touch View attachment 819747
https://www.aliexpress.com/item/For-Xiaomi-Redmi-4X-Digitizer-Touch-Screen-Glass-Replace-Part-for-Xiaomi-Redmi-4X-Black/32824500038.html
HabariNahitaji hii betri mkuu nipe bei View attachment 819742
Am still waiting for his response
I am ready to send the money , Naomba nikumbushe process tafadhali
Tayari nimepokea malipo uliyofanya.
Order yako imefanyiwa kazi.
Ahsante.
Next update: Jumanne au jumatano ambapo utapewa tracking number na utaweza kuufuatilia mzigo wako.
Karibu
habari,Mwl hivi huu mzigo kufika mkononi inagharimu kiasi ganiView attachment 820059
Bei ndo hii $315habari,
Changamoto iko kwenye CIF price.
TARATIBU ZA MANUNUZI ALIBABA NI HIZI
1. Mawasilino yanafanyika na muuzaji - Wewe waweza kuwasiliana naye au mimi nikafanya hivyo
2. Muuzaji anatatuma INVOICE ikiwa na ghalama yote (MANUNUZI + KUSAFIRISHA hadi bandari ya DSM)
3. MALIPO YANAFANYIKA - Kwa utaratibu tutakao kubaliana na muuzaji
4. TUNASUBIRI MZIGO KWA WIKI KATI YA 5 HADI 7 mzigo utakuwa umefika nchini - Iwapo utakuja kwa njia ya MAJI na huchukua siku 9 hadi 14 iwapo utatumwa kwa ndege
5. Baada ya mzigo kufika nchini ndipo taratibu za kuutoa mzigo bandarini/ airport unafanyika
6. Kuutoa bandari mzigo huwa kuna ghalama zake - Clearance/ TAX/ VAT
7. Hizo ghalama kipengele namba sita zitajulikana baada ya mzigo kufika nchini - Na uwe tayari kuzilipia kwa wakati
KARIBU
TZS 54,855Na hii je? View attachment 820252
Nipe muongozo wa betri kwanzaTZS 54,855
Nipe muongozo wa betri kwanza
Habari nduguNa hii je? View attachment 820252
Niliiona imeandikwa sold, pamojaHabari ndugu
Manunuzi yalishafanyika tayari.
View attachment 822736
Mzigo ukishafika nchini utapewa Taarifa.
Ahsante kwa mrejesho.Asante sana mkuu nimepata vifaa vyangu kama nilivyoagiza, Ubarikiwe sana kwa uaminifu.