Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Humu ndio pa kukaa kwanza
 
Hata ununuzi wa gari una standard zake, ukinunua hizi gari wanazohongwa malaya ni sawa na banda tu
 
Nunua gari ukiwa unajiweza, sio ununue halafu uanze kugongea wese.

Yaani kwa kifupi, ishi kulinga na kipato chako
 
Bora kaka umejionea mifano hai….

Km nilivyosema hapo juu, gari inasimplify harakati za kupata hela y kujenga. Cz ujenz n mchakato wa muda mrefu
 
Sawa Mhaya tumekuelewa.
 
Na hao wenye mabanda ndo wanaopiga sn kelele humu….

Bora upange apartment y kueleweka kipind unajivuta mdogo mdogo kumalizia banda lako… kuliko kutaka sifa za kijinga kuamishia familia kwny banda linalovuja kisa tuu status za kijinga…

Wazee wetu walijenga walivyopata viinua mgongo, b4 tuliishi kota tena za kishua balaah… leo hii nitaanzaje kuona aibu kupanga apartment na kununua gari.

Eti nisinunue gari kisa nimepanga? 🤣 Eti nisubiri kuwa na kwangu kwanza. Niendelee kuloa mvua na kupigwa jua, kuibiwa kwny madaladala na kurisk maisha kwny maboda boda. Nirisk mtoto n mke nyakati za hatari kisa tuu nasubiri kujenga kwanza.

Huu n upumbavu
 

Mkuu hakuna ubaya ukinunua used mkononi kwa mtu hata kwa 6 au 5 au 3 ni sawa tu kama kipato cha kurekebisha na kumantain hilo gari kipo bila kuathiri mambo mengine muhimu kama kulipa kodi huku ukijenga nyumba ya kwako.

Shida ni pale ambapo kipato chako huwezi kubalance maintance ya gari, kodi na ujenzi halafu ukarisk kununua gari used kwa mtanzania ndo gari linakuwa takataka sababu ya huduma finyu ukipambana na kutafuta kodi na kufanya ujenzi huku ukishindwa kulipa huduma zake.
 
Wazo zuli
 
Leo nimepata aibu sana kwenye mwendokasi nikawaza hili jambo
 
Ata madalali wanakupa heshima ukiwa na usafiri.
Alafu gari bwana inasaidia sana kula totoz nzuri nzuri. Maisha yenyewe hatuna mkataba na muumba, enjoy while u can huku unasaka hizo assets
 
Wapenda mademu ndio wanunue magari kabla ya kujenga kwa nyie mliooa jengeni hata mabanda mhamie humo hii habari ya kupanga chumba na sebule miaka kumi mizima hadi mnakuwa na mitoto minne mitatu kwenye chumba na sebule ni aibu kuliko kunyeshewa na mvua
 
Heshima gani hiyo inaongezeka ukiwa na gari? Tatizo unadhan kuna mtu anakuzingatia kwenye Dunia hii, kaka Dunia ilipofikia hasa watu wa mjini hawana time kabisa na maisha ya mtu, ukishuka na gari popote vile unavyojiona sivyo watu wanavyokuona, Dunia imechange sana nowdays, usifanye mambo eti upate heshima sijui kwa watu, daima fanya mambo unayoyaona unapaswa kufanya na yanakusaidia either yanakupa heshima kwa watu or not.. Yesu alisulubishwa msalabani ilikuwa ni jambo la aibu sana na angeweza kuliepuka maana uwezo alikuwa nao ila ni kwa sababu ilimpasa hivyo alikubali yote.
 
Kama tayari una familia na huna vyote, anza kwanza kujenga, kama huna familia na hutegemewi yaan huna ndugu na jamaa wa kukutembelea mara kwa mara, nunua gari kwanza.
 
Km ww ilivyokupasa kutembea kwa miguu, kugombea mwendokasi, kuchelewa mishe zako na kuloa mvua hasa masika haya.

Tofauti yako na Yesu n kwamba Yesu alikubali mateso yale ili maandiko yatimie. Ili lengo la kuja duniani litimie. Maana Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wapekee kwa ajili y dhambi zetu.

Ila Ww hicho kikombe cha mateso huwez kukiepuka kwa sababu umeamua kuwa mpinzani wa mafanikio yetu, baada y kujinyenyekeza tukupe mbinu za kujinasua hapo ulipo ili na wewe upate kababy walker chako uepukane na aibu hizi ndogo ndogo, umeamua kuwa mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…