Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

๐Ÿคฃ acha uoga wa maisha kk, hakuna nyumba y million 10
 
Ata madalali wanakupa heshima ukiwa na usafiri.
Alafu gari bwana inasaidia sana kula totoz nzuri nzuri. Maisha yenyewe hatuna mkataba na muumba, enjoy while u can huku unasaka hizo assets
Bro hata ukiwa umeanza ujenzi, ni aibu kugombea daladala na mafundi wako.
Ukija na chuma site huongei sn, kazi inapigwaโ€ฆ
Na usidhani fundi atakupisha siti kwny daladala kisa anajenga kwako.
 
Nunua gari ukiwa unajiweza, sio ununue halafu uanze kugongea wese.

Yaani kwa kifupi, ishi kulinga na kipato chako
Uzuri hata kwny gari unaweza kupata la kipato chakoโ€ฆ
Kwa ww mkuu nissan mach inakufaa
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ’š
 
Akili za kimasikini hiziโ€ฆ.
Mm nilishanunua gari la 10.5 million na halikuwai kunisumbua hata cku moja. Zen 10 million kwny gari n kubwa sn unapata mkasi balaahโ€ฆ

Siku ukianza kumiliki gari utaelewa nguvu y 10 milion. Naona ss unaelewa nguvu y buku tuu kwny ๐Ÿ
 
Reactions: Tsh
Tunarudi pale pale.. Gari (Kuhudumia) si kwa Maskini pia Nyumba (Kujenga) si kwa Maskini..

Means.. tujitahidi kutafuta/kutega hela, ukiwa na hela haiangalii kipi cha kuanza (Kipaumbele) vyote vinaenda parallel..
 
Kabisa
 
Hahaha, Mkuu upo sahihi, maisha magumu sana, pesa ngumu.
 
Tunarudi pale pale.. Gari (Kuhudumia) si kwa Maskini pia Nyumba (Kujenga) si kwa Maskini..

Means.. tujitahidi kutafuta/kutega hela, ukiwa na hela haiangalii kipi cha kuanza (Kipaumbele) vyote vinaenda parallel..
Ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ