Upo sawa.Shuhuda kama hizi mtoa uzi hajaona ndio maana analeta mtazamo wake. Huenda kakulia familia bora anajua ikiwa mbaya ana pa kukimbilia hapa mjini. Mliotoka mkoani msiige mtindomaisha wa wazawa, kuna watu wanaolea na wanazeekea makwao sababu ni hapahapa mjini.
Nonsense excuses, mbona huko yard hayaozi?ndio huwa kila siku nawa ambia vijana buying a car ili ni zunguke hapa na pale, kwangu sio jambo la muhimu kabisa.
nikiwa na portfolio zangu imara hilo gari si chochote kwangu, tena mimi mzee wa kukaa ndani Baada ya shughuli si ndo lita ozea parking.
Shuhuda kama hizi mtoa uzi hajaona ndio maana analeta mtazamo wake. Huenda kakulia familia bora anajua ikiwa mbaya ana pa kukimbilia hapa mjini. Mliotoka mkoani msiige mtindomaisha wa wazawa, kuna watu wanaolea na wanazeekea makwao sababu ni hapahapa mjini.
Acha uoga mkuuโฆNakumbuka mwaka 1999 kuelekea 2000 wazazi wangu wote waliwili wakiwa wafanyakazi wa shirika moja la serikali libinafishwa kwenda kwa muwekezaji.
Walipewa Nyumba Bure,Umeme bure,Usafiri uliwafuata na kuwarudisha nyumbani.
Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa lile shirika hawakujenga nyumba zao za kuishi,hata viwanja hawakuhusika navyo,wengi walinunua pikipiki na magari.
Alikuja muwekezaji na kupunguza wafanya kazi wengi.
Nakumbuka mama yangu alipunguzwa pia ,ila tulibaki kwenye nyumba ya kampuni kwa mgongo wa baba ambae alibakibaki kazini.
Mtaani kwenye kota zile ilikua aibu,watu hawana pa kwenda,na walipewa mafao yao.
Hawakua na kiwanja wala kibanda cha kujisitiri,kodi nje ya mji zilipanda maradufu.
Tulikua na pagala letu tumepaua na kuweka madirisha ya nondo, kuna rafiki yake baba aliomba kwenda kujishikiza hapo na familia yake.
Nilipata funzo kubwa sana la maisha.
Nilipopata ajira Dar, baada ya mwaka nikamwambia baba nimenunua kiwanja naomba uje ukione.
Mama alilia sana,akaniambia umekumbuka yaliyotukuta 2000 nikamwambia mama ndio mama.
Binafsi nilikataa kununua gari kupaki kituo cha mafuta
Nyumba husitiri ndugu zangu.
Legacy.
haya sawa tuachane na ya mweka mada atakoma mwenyewe!.
nimekuhamu...
sasa hili kubwa kubwa la kutumikia wananchi nimuachie nani my lady?Akili ya wivu hii. Jah akujalie n ww umiliki kapasso kako
Duuh!!! Nishakuwa lady sio?sasa hili kubwa kubwa la kutumikia wananchi nimuachie nani my lady?
infact,
nilianza baja kuukuu hivi la home, kisha nikaifufua na sterlet ambayo ipo mpaka sasa, alhamndulilah kwa sasa si haba,
but bajaji na daladala sijastaafu na siachi.
Ni muhimu kumiliki vitu halali sio kupitia uchafu ๐
Ngoja nikumbushe jamaaIntelligent businessman ule mzigo una wadau humu๐๐
Mkuu niliomba ufafanuzi kwako lkn ukanikaushia, mdau mmoja aliomba pendekezo la usafiri wa kati 20m-35 ukamtajia aina kadhaa ikiwemo harrier, but haukurecommend harrier, nilitaka kujua why umediscourage harrier ambayo inaonekana ni kipenzi cha wengi Kwa sasa?Gari la million 3 hakuna. Labda km unaulizia chombo cha usafiri
Gari hatupost ila chombo cha usafiri uchoweza pata kwa bei hiyo n 1. Nissan mach #B 2. Hinda fit #A 3. Passo #C 4. Toyota Bb #B hizi waweza kupata zenye hali nzuri kidogo
Mikweche unayoweza kubaatisha ni 1. Peugeot 1996 #A 2. Toyota Charse 1998 #A 3. Corolla 1999 #A 5. Suzuki short chases 1999 #B
Epuka vyombo hivi kwa bei hiyoโฆ
Vits, ist, mazda, verossa, brevis, toyota porter, rav 4 old etcโฆutakuja kilia kilio cha mbwa mwizi.
Kila la heriโฆ
aah kumbradhi gentleman,Duuh!!! Nishakuwa lady sio?
Au ndo kuishiwa hoja?
Anyway mm ni Male/ME
Upo sawa sana mkuu. Ukiwa na pa kuishi, dharura hazikutikisi sana. Halafu unakuwa na ujasiri wa kurisk maana the worst ambacho kinaweza kukupata kiuchumi si kukosa pa kulala.Nilipata kazi nikajenga room 12 madarasa za kupanga. Now napiga 35,000# ร12 na ni jobless. Sijui kama ni sawa.
Rafiki yangu yupo USA Arusha tulikuwa naye kazini akapata hela akajenga self hajamalizia fresh na kununua ndinga nzuri tu. Tulipokosa kazi alirudi kwa wazazi kuishinkwa Muda na wameru walivyo, hakuruhusiwa kulala na Mkewe ndani ya nyumba kubwa. Alipewa chumba cha nje na MKEWE ALILALA NDANI YA NYUMBA KUBWA YA WAZAZI WA JAMAA na watoto.
Jamaa kuona KERO akauza gari akamalizia rum tatu akaenda kuishi kwenye nyumba yake ila Hana kazi, hana kipato.
Sijajua ujanja ni nini hapo.
Maisha na machaguzi ni mtu mwenyewe na background yake naona.
Kila kitu ni lazima ila kwanza kwa binadamu ni FOOD, CLOTHING AND SHELTER ndio tulifundishwa hivyo.
Nishaendesha mmarekani, wajerumani, waingereza , mkorea kusini na wajapan wa kutosha mwisho wa siku unakuja kujua nyumba ndio kila kitu hata kama itakomea kwenye msingi, ukiuza utauza kwa faidaAcha uoga vuta ndinga mkuu
Angalau leo nimepata mtu tunayefanana mtazamo. Mimi gari nilinunua kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kazini. Nakumbuka lile gari kwa ule mwaka wa kwanza nililiendesha haizidi mara 5. Lilitumika na zaidi na mwanangu niliyekuwa nafanya naye kazi. Anko wangu naye gari lake la kwanza lilikuwa toyota pickup mwaka 1993 na aliliendesha mara chache mno. Vijana tulijifunzia kuendesha gari kwenye ile pickup. Ila baada ya miaka kadhaa anko alianza kuendesha magari makali. Watu wahakikishe vipato imara kwanza.Uko sahihi lakin kila mtu atatoka kwa stori yake sio kwa mtizamo wako. Mi nilifikia mpaka kujenga nyumba mbili by then bila gar na miez sita kabla cjanunua gari yangu nilikuwa nimenunua gari ya vijana wangu wa kazi then ndio nikaja kununua gari yangu. Kila mtu ana mawazo sawa coz tuko kwenye njia moja lakin kila mtu ana ndotoa zake na kila mtu ana namna ya kufikia goli. Maisha sio millele kuna siku yataleta kile unachotaman kukifikia ishu ni kuwa wakati kimekuja kwako utagundua?
Naunga mkono hoja.Angalau leo nimepata mtu tunayefanana mtazamo. Mimi gari nilinunua kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kazini. Nakumbuka lile gari kwa ule mwaka wa kwanza nililiendesha haizidi mara 5. Lilitumika na zaidi na mwanangu niliyekuwa nafanya naye kazi. Anko wangu naye gari lake la kwanza lilikuwa toyota pickup mwaka 1993 na aliliendesha mara chache mno. Vijana tulijifunzia kuendesha gari kwenye ile pickup. Ila baada ya miaka kadhaa anko alianza kuendesha magari makali. Watu wahakikishe vipato imara kwanza.
๐๐๐๐๐๐น๐น Ngoja wakupe mimba ndo utajua hujui..!!
Acha uoga mkuuโฆ
Vuta ndinga uwai mishe mishe za pesaโฆ
Miaka ya 1999 gari ilikuwa anasa ila kwa ss n hitaji la msingi