Msiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua, lazima apointi mmoja kati yenu amtwishe beseni hilo!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi! Ushauri wangu, msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE: Siyo wote lakini ni baadhi yao