Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

Kwanini baraka zako na siyo laana zako
 
Sasa wewe mtu mpk unakula mamihogo mitaani ya kwenye mabeseni una nyota gani mbaya hivyo,
Si bora umtwishe tu huyo dada aondoke nayo akutolee mikosi
 
Kwa nini isiwe pia unamtwisha shida zako,dhiki,mateso,njaa, na ugumu wa maisha ulio nao? Mwenye pesa hana muda wa kukaa kijiweni kula mihogo.
 
acha akili za kiwaki. yaan unadhani mtu kuchukua baraka zako ni rahis rahis hivyo
ukiona jitu linaandika hvi basi limekulia mbwinde likija town linaona mambo mapya
 
Kwa nini isiwe pia unamtwisha shida zako,dhiki,mateso,njaa, na ugumu wa maisha ulio nao? Mwenye pesa hana muda wa kukaa kijiweni kula mihogo.
Baraka zako zako ziko kwa mikono na miguu! Laana zako ziko kwa utupu wako hasa utupu wa nyuma!
Ukitaka aondoke na shida zako mgeuzie utupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…