Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wote eidha ni wachawi au waumini wa ushirikina.Msiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni Pwaah!
Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua lazima Apointi mmoja kati yenu AMTWISHE BESENI HILO!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi!
Ushauri wangu! Msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE! SIYO WOTE LAKINI BAADHI YAO
View attachment 2348007
Kazi kweli!!yaani nguvu za kutua kitu , zilingane na zile za kukiinua,!!huyu jamaa vipi?Mbona mnawaonea.
Kushusha rahisi kuliko kupandisha, wanapohitaji msaada wa kutwishwa watwishwe
Ni uongo haswaaaaaaMsiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni Pwaah!
Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua lazima Apointi mmoja kati yenu AMTWISHE BESENI HILO!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi!
Ushauri wangu! Msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE! SIYO WOTE LAKINI BAADHI YAO
View attachment 2348007
Umeona eenhh?!.Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu.
Watanzania tunaweza kazi tatu pekee ambazo hufanywa kwa ufanisi.Msiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni Pwaah!
Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua lazima Apointi mmoja kati yenu AMTWISHE BESENI HILO!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi!
Ushauri wangu! Msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE! SIYO WOTE LAKINI BAADHI YAO
View attachment 2348007
Alijuaje kama kazungusha beseni siku nzima ? Au ulimwambia weweKuna mmoja alimtwisha beseni basi siku mwili unamuuma kumbe ndo alizungusha beseni siku nzima kichawi
Hizi maluuni ndio zinazobaka watoto nawazee kwaimani zakipumbavuHuu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu.
Msiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni Pwaah!
Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua lazima Apointi mmoja kati yenu AMTWISHE BESENI HILO!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi!
Ushauri wangu! Msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE! SIYO WOTE LAKINI BAADHI YAO
View attachment 2348007
kwakweli hata mimi amewahi kuniambia nimtwishe nikashangaa,nikamjibu kadish kadogo nikutwishe sitaki.Akamwomba mwingine.Tena bila kuomba hata kupunguziwa bei 📌📌📌