Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni


Alibaba hata one unit kunabaadhi ya supplier wanauza
 
Hakuna kilichoharibika. Alibaba ni app au website inayodeal na mauziano ya jumla na kwa kiwango kikubwa cha mzigo yaani Business to Business.

Aliexpress ni app au website inayodeal na mauziano ya rejareja yaani retail sales au Business to consumer.

Hizi zote ni za taasisi moja na zote zipo active kibiashara.
 
Vipi mkuu kihusu Kodi na gharama za TRA
Kuna mizigo ya aina mbili
Ukiwa ni register hulipii kama sio register unalipia..mimi sijawahi kulipia zaidi ya elfu 5
 
Sahihi kabisa nitatoa elimu kama ile ya uganga tuu
 
Nimeshanunua retail na Alibaba mwanzoni labda kama wamebadili ni sasa
 
Una bahati
Mkuu samahani tena kwaiyo bidhaa kama nguo,viatu,simu,laptop,saa ukiagiza hutatozwa gharama nyingine tena ya kulipia TRA au mzigo ukishaulipia cost zote zinakua zimejumlishwa moja kwa moja
 
Mimi nahitaji msaada wa kuship kwa haraka kutoka AliExpress, last time niliagiza mzigo March umefika Dar July hii na bado mmoja haujafika.
Mbona mzigo wako umewahi? Mi niliagiza mwezi wa 12 tarehe 4 , mzigo umeingia jumatatu hii tarehe 27!!!
Mzigo Kama ukipitia China post ni tatizo kubwa labda Kama unapitia Singapore post
 
Mkuu samahani tena kwaiyo bidhaa kama nguo,viatu,simu,laptop,saa ukiagiza hutatozwa gharama nyingine tena ya kulipia TRA au mzigo ukishaulipia cost zote zinakua zimejumlishwa moja kwa moja
All inclusive mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…