Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
100% KWELI KABISA. ANATAFUTA KULIWA ZAIDI NA CCMHao wanufaika wa uchumi wa mwili siku yao inakuja.
Huyu malaya naye siku zake c nyingi,kwanza nikikumbuka alivyotoroshwa usiku hadi dodomaMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki, Wilayani Ikungi, Aprili 27, 2025, Nusrat amesema anashangazwa kuona mzaliwa wa eneo hilo ambaye walimwamini, anakuwa chanzo cha kutaka kuvuruga amani, huku akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
"Kumekuwa na mazingira ambayo inaonekana kuna wengine wanataka kuvunja amani ya nchi yetu. Bahati mbaya sana, kuna wengine ambao wametoka kwenye ardhi yetu. Sisi ndio wenye mtoto ambaye anataka kuvunja amani ya nchi, na tunasema sisi tunapenda amani na tunakwenda na Dkt. Samia Suluhu Hassan," amesema Hanje
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3318499
Ni dharau kubwa kwa chama chenye wanaume watu wazima mtoto mdogo anawadhalilisha kiasi hiki..case za watu wa aina hii zinapaswa kumalizwa na mtu mmoja tu..na usaliti ungekuwa historia!Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki, Wilayani Ikungi, Aprili 27, 2025, Nusrat amesema anashangazwa kuona mzaliwa wa eneo hilo ambaye walimwamini, anakuwa chanzo cha kutaka kuvuruga amani, huku akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
"Kumekuwa na mazingira ambayo inaonekana kuna wengine wanataka kuvunja amani ya nchi yetu. Bahati mbaya sana, kuna wengine ambao wametoka kwenye ardhi yetu. Sisi ndio wenye mtoto ambaye anataka kuvunja amani ya nchi, na tunasema sisi tunapenda amani na tunakwenda na Dkt. Samia Suluhu Hassan," amesema Hanje
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3318499
..fikiri km mwanaume, unawataja ccm wakati chadema ndio wamedhalilishwa..100% KWELI KABISA. ANATAFUTA KULIWA ZAIDI NA CCM
Hili taifa nadhani linaongoza kwa laanaNi AIBU kwa nchi kuwa na Mbunge wa namna hii..anayetaka uchaguzi huru na wa haki na asiyetaka ,yupi anaye hatarisha AMANI??...UCHAWA tu!
Haya ndio madhara kwa wanaofanya umalaya wa kisiasa...... Hawakawii kuweweseka!Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki, Wilayani Ikungi, Aprili 27, 2025, Nusrat amesema anashangazwa kuona mzaliwa wa eneo hilo ambaye walimwamini, anakuwa chanzo cha kutaka kuvuruga amani, huku akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
"Kumekuwa na mazingira ambayo inaonekana kuna wengine wanataka kuvunja amani ya nchi yetu. Bahati mbaya sana, kuna wengine ambao wametoka kwenye ardhi yetu. Sisi ndio wenye mtoto ambaye anataka kuvunja amani ya nchi, na tunasema sisi tunapenda amani na tunakwenda na Dkt. Samia Suluhu Hassan," amesema Hanje.
View attachment 3318504
Watu wengi sanaMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki, Wilayani Ikungi, Aprili 27, 2025, Nusrat amesema anashangazwa kuona mzaliwa wa eneo hilo ambaye walimwamini, anakuwa chanzo cha kutaka kuvuruga amani, huku akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
"Kumekuwa na mazingira ambayo inaonekana kuna wengine wanataka kuvunja amani ya nchi yetu. Bahati mbaya sana, kuna wengine ambao wametoka kwenye ardhi yetu. Sisi ndio wenye mtoto ambaye anataka kuvunja amani ya nchi, na tunasema sisi tunapenda amani na tunakwenda na Dkt. Samia Suluhu Hassan," amesema Hanje.
View attachment 3318504
Asali ni tamu sana ukishalionja, wachache sana wanaoweza kuweka kijiko chini bila kurudisha kwenye kopo lenye asali unless asali liondolewe mahali hapo.Huyu malaya naye siku zake c nyingi,kwanza nikikumbuka alivyotoroshwa usiku hadi dodoma