PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu aache dharau na jeuri, bila Chadema kumshika mkono na kuwa hapo alipo angekuwa anauza mwili, hata sasa wakuu wake huko aliko hawajamwaacha salama.
 
Ukiona kwenye msiba mtu anafuraha wakati wengine wanahuzuni,huyo siyo mwenzenu
 
Bado Ujinga wa baadhi ya watu unaendelea kuwa mtaji.

Taifa linahitaji sana watu serious ili mambo yakae sawa.
 
Huyu mdada sijui ni wa kijiji gani, anaongea upupu sana, ni ngumbaru tu ndio watampigia kura huko singida mashariki anakotaka kugombea kwa tiketi ya ccm na sijui mtaturu watamtupa wapi jimboni humo anakotoka jabali la siasa za upinzani mheshimiwa Tundu Lissu. Mdada anajisumbua bure kule ataambulia kura kiduchu
 
Bado Ujinga wa baadhi ya watu unaendelea kuwa mtaji.

Taifa linahitaji sana watu serious ili mambo yakae sawa.
watu hawako serious mjomba, cheki akina nusrat hanje wanavyoonea upupu mtupu, hakuna reasoning yoyote mradi tu mtu anaongea pumba posho iingie maisha yaendelee
 
kwenye nchi iko na vijana wanajua wajibu wao kwa jamii, kwa haya anayosema lingempata jambo lisilosimulika..nchi imejaa mashoga kila mahali..wanatukanwa wanacheka cheka tu, pumbavu kabisa!
 
Njaa ya madaraka ikipitiliza unakuwa kama kibaka chochote utakachokikuta ni halali yako.Ukimaliza uchaguzi ndio unaanza kuona dhambi zako.
 
Anataka atupeleke huku wanakotoka kina Martha Karua kwenye Haki na Demokrasia πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Kenyans/status/1916819315661115584?t=xy24DWKhPEbfBnM5S0RWow&s=19
 
Ccm ya kizazi kipya asilimia kubwa ni zao la CHADEMA. Fimbo wanazichonga na zinatumika kuwaadhibu.
CHADEMA itabaki kuwa kwenye mioyo ya wengi lakini linapokuja suala la kipato kwa wanasiasa CCM ni kimbilio. Nyumba yenye njaa ni nyumba yenye migogoro na makasiriko.
 
Nasikia ni mke wa 3 au 4 wa maulidi kitengevwa yule mchekeshaji na zembwela wasafi fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…