Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Kufungwa tulistahili tena hizo nne ni chache.

Kosa la kwanza kumuanzisha na kumlazimisha mchezaji ambaye majeruhi na hana mechi fitness Shishimbi (siwezi mlaumu Shishimbi).

Pili beki za kati hazikuelewana japokuwa Lamine alicheza vizuri ila mwenzake hakuwa vizuri.

Yote tisa kumi beki tatu ilikuwa hovyo kwa kifupi yule jamaa wa Msumbiji alikuwa anatupiga goli tatu za wazi na kama Dilunga angeacha ubinafsi yule Mmakonde alikuwa anapiga msumari wa tano.

For me kocha alizingua na hakuwa na game plan nzuri,tulikuwa tunachezea 7.

Yote kwa yote HONGERA SIMBA,wana Yanga ndio mpira huu tukajipange upya.
 
Back
Top Bottom