Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Vile Vyura vishapigwa bao 4 😂😂😂

IMG_20190919_205016.jpg
 
Leo wachezaji wengi wa Yanga walikua wazito sana na wengine walikua wavivu kushuka kuisaidia timu. Ni mchezaji mmoja tu wa Yanga Feisal Salum alikua mwamba kwelikweli hasa baada
ya mabadiliko kipindi Cha pili. Ali upiga mwingi mbaka unamwagika Amenikumbusha waziri mahadhi. Hongera kwa Simba, Leo ilikua sikuyao hasa Chama.
 
Wewe unaujua mpira mkuu, nilipomuona Makapu beki 4 nikawaambia jirani zangu mmepigwa
Makapu huyu huyu alicheza vizuri mechi ya tarehe 8! Leo tulizidiwa wandugu, viongozi wajipange vizuri kwa ajili ya msimu ujao
 
Shishimbi ameivuruga timu.
Kocha wa yanga alinishangaza alipoingiza kikosi kile kile kianze tena second half bila ya kufanya sub.

All in all Simba wapo vizuri sana na laiti washambuliaji wao wangeongeza umakini, leo Yanga angekufa si chini ya goli 6.
 
Back
Top Bottom