The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Simba itashinda goli 4 kama benchi la ufundi wakitambua makosa yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Simba itashinda goli 4 kama benchi la ufundi wakitambua makosa yao.
😂😂😂😂 nilkua smbawanga ndo narudi dar sasa😂🤣🤣🤣duuuuuuh kuna watu wachawi humu
Noma sanaUsije ukakimbia tu ukae hapa hapa kwa dk zote 90
Yani zile dakika kumi na tano za Mwanzo unaona alivokuwa amechoka.Mchezaji wa superleague kupokonywa mpira mara tatu mfululizo.Yani makocha wenye macho angepigwa sub kabla ya dakika 25 haijafikaKazingua aisee.shiship leo hakuwa na fitness kabisa
Makapu huyu huyu alicheza vizuri mechi ya tarehe 8! Leo tulizidiwa wandugu, viongozi wajipange vizuri kwa ajili ya msimu ujaoWewe unaujua mpira mkuu, nilipomuona Makapu beki 4 nikawaambia jirani zangu mmepigwa
Yanga Ndio Team Ya Kwanza Duniani Kufungwa Goli Nne Tangu Tanzania Tuingie Uchumi Wa Kati.Mnyama Ghazwat kuja sasa tayari
45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio
Sijui ana hali ganiMaskini Shadeeya lah
Mrembo ana tako
Vipi bado uko uwanjani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Arbaah.Nne kwa kiarabu inaitwaje wakuu
We jamaa duh45dk simba 2 yanga 0
90dk simba 4 yanga 1
kwenu studio