Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Hahaha 4G ya gwaji boy au 4G ya mtandao pendwa astakafillulah #ancle_kaiba_nanga_yanga
Ilikuwa tuwapige 5G sema neno LA mchungaji lilituingia kwamba tusiruhusu huo ntandao kuingia nchini
 
Acha tutambe mtani. Mlitukosesha sana amani nyie na goli la adui yenu mpya Morrison[emoji3][emoji3].

Natumai zile Birthday zenu za kila tarehe 8 zimeshafikia mwisho.

Baada ya hapa mtani tutaganga yajayo
Hawakukosea waliosema kuimba kupokezana.

Sasa ni Mbumbumbu time. Teh teh
 
Kwa kifupi sisi timu ya Yanga Kwa sasa kujifananisha na simba ni kuwakosea adabu wenzetu walishatoka kwenye siasa za mpira na sasa wanawekeza na kuucheza mpira sisi bado tunaendeleza siasa majungu na migogoro isiyo na tija kama sio wachezaji na uongozi basi ni wanachama na viongozi ay viongozi kwa viongozi kitu ambacho upande wa pili wa mikia huwezi kukisikia, hata ile tarehe nane tuliwafunga kwa kubahatisha tu kama norwich alivyomfunga man City, kwakhe sasa simba wanatuacha mbali, wanatengeneza Fan base kubwa sana na brand ya timu yao inakuwa kwa kasi, sasa hivi tanzania katika watoto 200 walio na umri Chini ya miaka 12 basi watoto 180 wanaishangilia simba 15 Azam na 5 ndo wanashangilia yanga, hii inatokana na timu yao kufanya vizuri kwa hii misimu mitano na wanakuwa na ushabiki wao. Sawa hivi sisi tumebaki kujiita timu kubwa kutokana na uzee wetu katika soccer la tanzania lakini sio Kwa mpira sasa hivi simba sio size yetu, rejea kwa liverpool ilikuwa ni timu kubwa sana uingereza na ulaya kwa ujumla barca chalsea man city zilikuwa sio kitu lakini walivyojiaminisha kwamba wao wakubwa na kuanza kuzarau misingi ya soccer walipotea na kupoteza fans pia sasa hivi si ajabu kukuta barca man city na chalsea wana fansi wengi kuliko liver. Liver imebaki na washabiki wale wazee walioipenda miaka hiyo na vijana wachache walioipenda kuanzia mwaka 2005- 2007. Yanga tunaelekea shimoni zaidi
 
Unakielewa ulichokiandika Mkuu? [emoji15][emoji15]

Niandike mimi halafu nisielewe nilichoandika? Kipigo kimekuvuruga unashindwa kusoma na kuelewa siyo?
Kama hujaelewa basi baada ya wiki mbili rudia tena kusoma!
 
Kwa kifupi sisi timu ya Yanga Kwa sasa kujifananisha na simba ni kuwakosea adabu wenzetu walishatoka kwenye siasa za mpira na sasa wanawekeza na kuucheza mpira sisi bado tunaendeleza siasa majungu na migogoro isiyo na tija kama sio wachezaji na uongozi basi ni wanachama na viongozi ay viongozi kwa viongozi kitu ambacho upande wa pili wa mikia huwezi kukisikia, hata ile tarehe nane tuliwafunga kwa kubahatisha tu kama norwich alivyomfunga man City, kwakhe sasa simba wanatuacha mbali, wanatengeneza Fan base kubwa sana na brand ya timu yao inakuwa kwa kasi, sasa hivi tanzania katika watoto 200 walio na umri Chini ya miaka 12 basi watoto 180 wanaishangilia simba 15 Azam na 5 ndo wanashangilia yanga, hii inatokana na timu yao kufanya vizuri kwa hii misimu mitano na wanakuwa na ushabiki wao. Sawa hivi sisi tumebaki kujiita timu kubwa kutokana na uzee wetu katika soccer la tanzania lakini sio Kwa mpira sasa hivi simba sio size yetu, rejea kwa liverpool ilikuwa ni timu kubwa sana uingereza na ulaya kwa ujumla barca chalsea man city zilikuwa sio kitu lakini walivyojiaminisha kwamba wao wakubwa na kuanza kuzarau misingi ya soccer walipotea na kupoteza fans pia sasa hivi si ajabu kukuta barca man city na chalsea wana fansi wengi kuliko liver. Liver imebaki na washabiki wale wazee walioipenda miaka hiyo na vijana wachache walioipenda kuanzia mwaka 2005- 2007. Yanga tunaelekea shimoni zaidi
Watu kama nyie wenye fikra pevu inabidi mpate nafasi ya kuongoza clab kwa kuungwa mkono na wanachama wa Yanga.

Pamoja na kuwa shabiki Lialia ila mawazo yako ni zaidi ya ushabiki,, hakuna kipindi kigumu ktk ushabiki pale unapoona mambo hayaendi vzuri,, management iko udhaifu ktk maauzi,, poleni sana,,

Kila la kheri ktk kuiboresha timu yenu
 
Ahsante mkuu lakini jana ni kipigo kama cha Maneno ya RPC wa dodoma
 
Back
Top Bottom