Nikola24
JF-Expert Member
- Aug 26, 2024
- 597
- 1,240
Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko poa,hasa moyo.
Juzi kati hapo nimetulia zangu hapo mida ya jioni ghafla moyo ukatulia kwa sekunde kadhaa kisha ukaanza kudunda tena kwa kishindo hadi nikashtuka.
Hali ilikuwa hiyo Kila baada masaa kadhaa.Naogopa sana kufanmapema ,maana nina miaka 29 .
Nikaanza research kuhusu tatizo Hilo la moyo. Kupekua kwenye internet ndipo nikashtukia tabia yangu, kutumia simu usiku kucha.
Hivi sasa nimejiwekea ratiba ya kulala (kuanzia saa 5 usiku) na kuamka (kabla saa 2 asubuhi).
Hali sasa imekuwa shwari,mwili wangu full energy zed.
Matatizo mengine niliyo pata wiki iliyopita, mwili kukata roho ukianza kulala kisha nashtuka(near death experience), kupooza baada kuanza kulala, kuota ovyo hovyo na kuamka umechoka. Sasa hali ni shwari najali usingizi.
Nawashauri ndugu zangu hali afya yako.Hasara roho simu plastiki tu.
Pichani ni movie niliyo angalia jana. My ugly stepsister ni balaa kia mazing Hivi.