Hakika umenena! Nitafuata ushauriHili suala la usingizi tuliangalie kwa mapana yake..ni muhimu sana..
Ndo maana zamani wazazi wetu waliiishi maisha marefu...
Kwanza walilala mapema na kuamka mapema kuwahi kazi zao za kilimo n.k
Sisi siku hzi kulala saa 7 au saa 6 ukiwahi saa 5 kuamka saa kumi na moja au kumi na mbili kwa wenye majukumu...
Mwili unakua na wenge sio kitoto...brain haijatulia ukiamka tuu unaanza kuperuzi unakutana na vitu vya kudistract mind....
Mara moyo upate huzuni mara kichwa kiume...mara mfadhaiko kwa wanaume wapenda picha chafu...kweli tufaishi maisha marefu??
Huwezi kuzuia technolojia ila ina bidi kujipanga wwe kama wewe jinsi ya kuishi na hyo tech...ili isiharibu mustakabali wa maisha yako...
Jitahidi uwe mwanaune, mwandiko wako hauko kiume, jikaze kijanaMimi dume bruh
HakikaaMimi ninachoona si mpaka ulale masaa nane bali kinachotakiwa ni quality ya usingizi, kama utapata masaa hata matano ya usingizi Bora ni heri kuliko kulala masaa mengi na usingizi wa kutafuta, hivyo basi tafuta vichocheo vinavyoweza kukuongezea quality ya usingizi wako, shida si kulala muda gani bali ni kweli umepata usingizi mzuri?. Simu hizi zinaharibu sana ubora wa usingizi wetu, jaribu kama wiki hivi kuiweka simu pembeni au punguza matumizi yake utajihisi tofauti sana hasa kiakili pia na kimwili.
Hakika umenena ,mtazamo wako mzuri sana.Mimi ninachoona si mpaka ulale masaa nane bali kinachotakiwa ni quality ya usingizi, kama utapata masaa hata matano ya usingizi Bora ni heri kuliko kulala masaa mengi na usingizi wa kutafuta, hivyo basi tafuta vichocheo vinavyoweza kukuongezea quality ya usingizi wako, shida si kulala muda gani bali ni kweli umepata usingizi mzuri?. Simu hizi zinaharibu sana ubora wa usingizi wetu, jaribu kama wiki hivi kuiweka simu pembeni au punguza matumizi yake utajihisi tofauti sana hasa kiakili pia na kimwili.
Thank for sharing! Sasa nitabadilika na kuwa tofautiWataalamu wa afya ya akili wanakwambia kukosa usingizi ni dalili moja wapo ya kuanza kwa changamoto hyo...
Lakini pia kutokupata usingizi wa kutosha na kupumzisha ubongo kunaweza kukupelekea kwenye changamoto ya afya ya akili...
Virse versa is true....
Hii ya kuamka saa 8-9 imekaa kiutuuzima kwa watu wenye majukumu.- Nyongeza: Ubora wa usingizi huchangiwa na hivi vitu viwili
1. Muda wa mwisho uliokula chakula cha jioni/ usiku
2. Aina ya chakula
- Inashauriwa: Muda wa kulala uwe ni baada ya masaa angalau mawili baada ya chakula chako cha usiku.
Mfano: Kama chakula cha usiku ni saa 2; Basi muda wa kulala sio mbaya ukawa kuanzia saa 4; Hapo usingizi huja vizuri kabisa, kuja kushtuka ni saa 8 - 9 alfajiri.
Watu tunalala saa kumi na mbili alfajiri na kuamka saa mbili asubuh wewe saa tisa unalalamika du!Haina haja tatizo limepoa na sirudii tena kukesha na smartphone usiku
Vipi kuhusu mbu?- Nyongeza: Ubora wa usingizi huchangiwa na hivi vitu viwili
1. Muda wa mwisho uliokula chakula cha jioni/ usiku
2. Aina ya chakula
- Inashauriwa: Muda wa kulala uwe ni baada ya masaa angalau mawili baada ya chakula chako cha usiku.
Mfano: Kama chakula cha usiku ni saa 2; Basi muda wa kulala sio mbaya ukawa kuanzia saa 4; Hapo usingizi huja vizuri kabisa, kuja kushtuka ni saa 8 - 9 alfajiri.