Ahsante kwa kuniongezea point dada angu.Saa 5 usiku bado ni mida za kuchelewa kulala, km huna majukumu...let's say ya mume na watoto basi jitahidi saa 3-4 uwe ushalala. Na kuamka isizidi saa 12. Ukipata kulala usingizi wa saa 3 mpk saa 6, usingizi wake ndio unakuwa deep na akili inapumzika vya kutosha. Ndio maana kuna watu wanaweza kuamka saa 7,8 au 9 usiku kufanya ibada au meditation au kusoma na akili inakuwa ipo fresh sana.
Moja katika vitu muhimu sana kwa binaadamu ni kulala vizuri ina mchango mkubwa sana kiafya
Pole mremboHabari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko poa,hasa moyo.
Juzi kati hapo nimetulia zangu hapo mida ya jioni ghafla moyo ukatulia kwa sekunde kadhaa kisha ukaanza kudunda tena kwa kishindo hadi nikashtuka.
Hali ilikuwa hiyo Kila baada masaa kadhaa.Naogopa sana kufanmapema ,maana nina miaka 29 .
Nikaanza research kuhusu tatizo Hilo la moyo. Kupekua kwenye internet ndipo nikashtukia tabia yangu, kutumia simu usiku kucha.
Hivi sasa nimejiwekea ratiba ya kulala (kuanzia saa 5 usiku) na kuamka (kabla saa 2 asubuhi).
Hali sasa imekuwa shwari,mwili wangu full energy zed.
Matatizo mengine niliyo pata wiki iliyopita, mwili kukata roho ukianza kulala kisha nashtuka(near death experience), kupooza baada kuanza kulala, kuota ovyo hovyo na kuamka umechoka. Sasa hali ni shwari najali usingizi.
Nawashauri ndugu zangu hali afya yako.Hasara roho simu plastiki tu.
Pichani ni movie niliyo angalia jana. My ugly stepsister ni balaa kia mazing Hivi.View attachment 3375595
- Weka huu utaratibu, utasaidia kuboresha afya yakoNikaanza research kuhusu tatizo Hilo la moyo. Kupekua kwenye internet ndipo nikashtukia tabia yangu, kutumia simu usiku kucha.
- Nyongeza: Ubora wa usingizi huchangiwa na hivi vitu viwili.let's say ya mume na watoto basi jitahidi saa 3-4 uwe ushalala. Na kuamka isizidi saa 12. Ukipata kulala usingizi wa saa 3 mpk saa 6, usingizi wake ndio unakuwa deep na akili inapumzika vya kutosha.
Hii kobo unaitumia bila kutumia sinu?- Weka huu utaratibu, utasaidia kuboresha afya yako
1. Kila ifikapo saa 3usiku; weka silent mode, weka mabli kabisa simu yako, kwenye draw au au mahala popote am,bapo hutoweza kuiona.
- Mimi binasi ni zaidi ya miaka 10 sasa ifikapo saa 3 usiku simu zangu zote huwa OFFLINE hadi ule muda nitakao amka.
- Kuhusu hili hata wana JF wanajua:
2. Iwapo una vitabu vya kusoma kwenye simu, yamkini ndio sababu unalala saa 9; Nakushauri nunua kifaa maaalum cha kusome iwe ni usiku au mchana.
- Nimebahatika kumiliki
- Kobo eReader ( Mwenye uhitaji naweza muuzia - Sina matumizi nayo)
- Amazon Kindle
Mkuu,ungekufa tu.Mimi sijala wali wa hitma siku nyingi sana.Kufa mkuu!Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko poa,hasa moyo.
Juzi kati hapo nimetulia zangu hapo mida ya jioni ghafla moyo ukatulia kwa sekunde kadhaa kisha ukaanza kudunda tena kwa kishindo hadi nikashtuka.
Hali ilikuwa hiyo Kila baada masaa kadhaa.Naogopa sana kufanmapema ,maana nina miaka 29 .
Nikaanza research kuhusu tatizo Hilo la moyo. Kupekua kwenye internet ndipo nikashtukia tabia yangu, kutumia simu usiku kucha.
Hivi sasa nimejiwekea ratiba ya kulala (kuanzia saa 5 usiku) na kuamka (kabla saa 2 asubuhi).
Hali sasa imekuwa shwari,mwili wangu full energy zed.
Matatizo mengine niliyo pata wiki iliyopita, mwili kukata roho ukianza kulala kisha nashtuka(near death experience), kupooza baada kuanza kulala, kuota ovyo hovyo na kuamka umechoka. Sasa hali ni shwari najali usingizi.
Nawashauri ndugu zangu hali afya yako.Hasara roho simu plastiki tu.
Pichani ni movie niliyo angalia jana. My ugly stepsister ni balaa kia mazing Hivi.View attachment 3375595
Safi sana hii mkuu. Binafsi saa nne mwisho wa simu. Hadi napo amka pia- Weka huu utaratibu, utasaidia kuboresha afya yako
1. Kila ifikapo saa 3usiku; weka silent mode, weka mabli kabisa simu yako, kwenye draw au au mahala popote am,bapo hutoweza kuiona.
- Mimi binasi ni zaidi ya miaka 10 sasa ifikapo saa 3 usiku simu zangu zote huwa OFFLINE hadi ule muda nitakao amka.
- Kuhusu hili hata wana JF wanajua:
2. Iwapo una vitabu vya kusoma kwenye simu, yamkini ndio sababu unalala saa 9; Nakushauri nunua kifaa maaalum cha kusome iwe ni usiku au mchana.
- Nimebahatika kumiliki
- Kobo eReader ( Mwenye uhitaji naweza muuzia - Sina matumizi nayo)
- Amazon Kindle
Ndio situmii simu; Ni kifaa kinachojitegemeaHii kobo unaitumia bila kutumia sinu?
Bei gani bossNdio situmii simu; Ni kifaa kinachojitegemea
Ni eReader - Technolojia yake ni maalum kwa kusomea. Iwe ni usku au mchan , mahala popote.
Nakuwekea picha soon.