Nusura nife kwa tatizo la moyo kisa matumizi ya smartphone hadi usiku wa manane!

Hakika umenena! Nitafuata ushauri
 
Mimi ninachoona si mpaka ulale masaa nane bali kinachotakiwa ni quality ya usingizi, kama utapata masaa hata matano ya usingizi Bora ni heri kuliko kulala masaa mengi na usingizi wa kutafuta, hivyo basi tafuta vichocheo vinavyoweza kukuongezea quality ya usingizi wako, shida si kulala muda gani bali ni kweli umepata usingizi mzuri?. Simu hizi zinaharibu sana ubora wa usingizi wetu, jaribu kama wiki hivi kuiweka simu pembeni au punguza matumizi yake utajihisi tofauti sana hasa kiakili pia na kimwili.
 
Hakikaa
 
Wataalamu wa afya ya akili wanakwambia kukosa usingizi ni dalili moja wapo ya kuanza kwa changamoto hyo...
Lakini pia kutokupata usingizi wa kutosha na kupumzisha ubongo kunaweza kukupelekea kwenye changamoto ya afya ya akili...
Virse versa is true....
 
Hakika umenena ,mtazamo wako mzuri sana.
 
Thank for sharing! Sasa nitabadilika na kuwa tofauti
 
Hii ya kuamka saa 8-9 imekaa kiutuuzima kwa watu wenye majukumu.
Gen-Z wanalala mchana kutwa na usiku kucha. Cha msingi simu iwe na data tu.
 
Usingizi ni muhimu sana. Pia mazoezi ni muhimbili zaidi linapokuja swala la blood pressure.
 
Vipi kuhusu mbu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…