Nusuru ndoa yangu

Kama mazungumzo yake yalifikia sehemu ya kusema anayoyafanya ni kwa ajili ya kukuheshimisha waamgalie watoto fumba macho jipige kifua sema hawa watoto ni wangu kwa namna yoyote.
 
Matukio yote hayo bado unapambana kuinusuru hiyo ndoa badala ya kushukuru Mungu na ukakate hako kauzi kalikoishikilia???

Kadili unavyopambana kuinusuru ndiyo chuki uake jui yako inapozidi, je upo tayari kumpenda kimapenzi yule anayekuchukia the most? Upo tayari ku kiss lips zinazokutukana na kukulaani kila sekunde? Upo tayati kuegemea yule anayetaka udondoke?
 
Pole sana Man!

Amekusaliti secondary stage baada ya kujipata!!

Huyo unaemuona ndio halisi,hakua type Yako na wewe hukua type yake tangu zamani!!

Alikubali kuishi na wewe baada ya kukosa mstakabali wa maisha yake ndipo akaona wewe unafaa kuwa grader la kumsafishia njia na sasa imenyooka unatakiwa ukae pembeni!!

MWAMBIE AENDELEE NA MAISHA YAKE,MLIPOFIKA PANATOSHA,KUHUSU WATOTO TAFUTA WA KUWALEA MUISHIE HAPO ,USING'ANG'ANIE KE ANAPOTAKA KU MOVE ON ,MSIJE KUUANA"!!!!
 


Migogoro hiyo sio duka wala nini, tayari umemwachia uhuru kupitia dukani ana mahusiano na wanaume, na kuna mtu anampa mapenzi, chunguza vizuri
 
ni kweli,,coz ukifatilia comments za watu humu unajua tu
ndo nimekuambia mm, nipo site najua kinachoendelea.

Angalia mwamba alifanya kitu kwa nia njema kabisa ila leo anajuta, na wapo wengi wa namna hyo sema hawasemi tu. Mm nilishashuudia mwanamke anamwambia mumewe. "kama ni kile kimtaji ulichonipa ndo unaninyanyasa nacho sema nikurudishie tuachane" hii ni baada ya mume kulalamika mabadiliko ya mke baada ya biashara kukua
 
ivi ni hua tunarogwa au hatujawah shika hela za namna io
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…