Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Eti dukani mtaji uliopo siyo wa kwako?ingawa amesema hataki kuvunja ndoa,,ila nahis mwanamke ndo anachotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti dukani mtaji uliopo siyo wa kwako?ingawa amesema hataki kuvunja ndoa,,ila nahis mwanamke ndo anachotaka
Kama mazungumzo yake yalifikia sehemu ya kusema anayoyafanya ni kwa ajili ya kukuheshimisha waamgalie watoto fumba macho jipige kifua sema hawa watoto ni wangu kwa namna yoyote.Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
kuna mteja kamdanganya atamuongezea mtajiEti dukani mtaji uliopo siyo wa kwako?
nakazra...hapo atajua kama kuna anayempa kiburi au ni duka linampa kiburi.Funga hilo duka
hapo ni mteja alonunua kakitu ka 10000 kampa kiburinakazra...hapo atajua kama kuna anayempa kiburi au ni duka linampa kiburi.
Matukio yote hayo bado unapambana kuinusuru hiyo ndoa badala ya kushukuru Mungu na ukakate hako kauzi kalikoishikilia???Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
disastrousWomen empowerment has caused more harm than good
ila wanawake, nikikumbuka.....mmh ngoja nikae kimya.hapo ni mteja alonunua kakitu ka 10000 kampa kiburi
Tayar mhanga😂,, pole sanaila wanawake, nikikumbuka.....mmh ngoja nikae kimya.
wahanga tupo over 98% sema kwa style tofaut tofaut tu my dear. tunauchuna tu.Tayar mhanga,, pole sana
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
ni kweli,,coz ukifatilia comments za watu humu unajua tuwahanga tupo over 98% sema kwa style tofaut tofaut tu my dear. tunauchuna tu.
ndo nimekuambia mm, nipo site najua kinachoendelea.ni kweli,,coz ukifatilia comments za watu humu unajua tu
ivi ni hua tunarogwa au hatujawah shika hela za namna iondo nimekuambia mm, nipo site najua kinachoendelea.
Angalia mwamba alifanya kitu kwa nia njema kabisa ila leo anajuta, na wapo wengi wa namna hyo sema hawasemi tu. Mm nilishashuudia mwanamke anamwambia mumewe. "kama ni kile kimtaji ulichonipa ndo unaninyanyasa nacho sema nikurudishie tuachane" hii ni baada ya mume kulalamika mabadiliko ya mke baada ya biashara kukua
Anafungaje duka ambalo mtaji wake ulisha kwisha, mtaji uliopo sasa hivi ni mtaji wa Wadhamini, hana chake hapo!!Funga hilo duka
hata sijui kwa kwel, ila nashindwaga kuelewa wanawake wengi huwa wanataka nn.ivi ni hua tunarogwa au hatujawah shika hela za namna io