Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako.
2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu.
3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia
A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na mamlaka zaidi ndani ya familia. Kipindi hiki ndicho baba hukitumia kuwekeza na kuwasomesha watoto wake tena wakati huo akiwa mkali sana.
B- Utawala wa mama:- hiki ni kipindi ambacho mama hutumia muda muda mwingi kumtunza nyumba na kumtunza mume/baba akiwa ameanza kuzeeka. Na kipindi hiki maranyingi upendo huongezeka kwa mama na mama, pia hutumia muda mwingi kumtumukia Mungu na kulea wajukuu.
C- Utawala wa watoto:- Hiki ni kipindi ambacho watoto wamekua wakubwa na wengu wana kazi zao na familia pamoja na watoto. Kipindi hiki watoto ndio hutoa maamuzi ya familia yaani baba na mama, na hapa watoto ndio hua na mamlaka ya kuamua (mfano mama anaumwa aende akatibiwe daslam) pasipo kujali kwamba baba anabaki pekeake na atapikiwa na nani. Hiki ndio kipindi ambacho kama mzee ulizingua kwenye malezi basi ndio wakati wa kutamani kufa na kujiona unanyanyasika. Wababa wengi hufa sana katika kipindi hiki.