Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

Ubaya haulipi!
Inaonekana unahasira na machuku yanayo muhusu baba yako kijana.
Maranyingi hua napenda kuwashauri vijana wenye maumivu kama yako kwamba..... kilicho kutokea usiki generalise kwenye jamii, pengine kaongee na mama yako vizuri akuambie kama huyo ni baba yako ama mzazi wako...🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…