Nyama ngumu kama manati haipendezi, jitahidi mpishi ukipika nyama yoyote ile iwe laini

Waislamu kwenye kupika tuko vyedi mkuu
Upishi ni swala binafsi. Usiseme Waislamu.

Kwa sababu hakuna somo la mapishi kwenye mafundisho ya dini.

Nenda Kigoma Ujiji, waislamu kede. Lakini sasa, achia hapo.

Nadhani mabinti wa pwani haswa Dar na Tanga ndiyo wataalam wa mapishi. Na kutokana na uhalisia, maeneo hayo watu wengi ni Waislamu. Ila hawajui kupika kwa sababu ya Uislamu, bali kwa sababu ya tamaduni za eneo husika.

Eid Mubarak!.
 
Waislamu kupika labda uji wa muhogo
Kupika ni suala la mtu binafsiiiiiiiii
 
Nilipoona kwenye trending news, title imetaja habari za nyama, nikajua labda mada inaongelea ile nyama inayopigwa na joto muda wote lakini haiivi...

Kufungua uzi kumbe tupo jukwaa la mapishi...kwaheriiii!
Mpo watu 8 bado mnawaza nongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ungekua peke ako je
 
Nyama inategemeana mnyama pia.

Nyama ya ngoro (ng'ombe aliyekonda na mwenye njaa) hata uweke recipes zako, hailainiki ng'oo.

Nyama ya ng'ombe aliyenona automatically huwa na ulaini fulani.

Lakini pia, usipike nyama kwa moto mkali sana. Ninakuhakikishia zitakuwa ngumu tu. Pika kwa moto wa wastani.

Kuna aina ya ukataji pia ambao walau vile vinyuzi nyuzi (fibers) zitaiva kwa uharaka.
 
huku maporini kwetu nyama kuiva au kua laini sio issue, ilimradi imekatatwa vipande vidogo vidogo na ni ya moto na haibani mdomo πŸ’

ikiwa ngumu unameza tu mapishi ya kuilainisha itafanyika huko ndani tumboni na kazi inaendelea mpaka utakapotoshekaπŸ’
 
Hii comment imepewa like na jamaa yangu mmoja mpenda nyama, naunga mkono hoja hii.

😁
Carleen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…