Nyama ngumu kama manati haipendezi, jitahidi mpishi ukipika nyama yoyote ile iwe laini

Nyama ngumu kama manati haipendezi, jitahidi mpishi ukipika nyama yoyote ile iwe laini

Mimi ni mmojawapo ninayeongeza maji mengi
Nimechukua ujuzi hapa, Asante...!
Tunajaza mimaji fwaa kwa uvivu wa kuichungulia mara kwa mara.

Enzi za utoto wangu ukiniambia niangalie maharage su nyama basi hilo sufuria litajazwa lita za kutosha za maji, kazi yangu kuchochea tu mkaa/kuni. Mimi huyoo kucheza
 
Back
Top Bottom