ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Hamna shida! Nambie hilo tatizo...Haya mtumishi wa bwana....
Hayo maneno hata mi sielewi maana yake ila ni jibu la ile eid mubarak
πππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna shida! Nambie hilo tatizo...Haya mtumishi wa bwana....
Hayo maneno hata mi sielewi maana yake ila ni jibu la ile eid mubarak
πππππππ
Yeah! Huwezi jua ya kesho, labda nitafungua kabisa na wewe utakua kondoo wangu!Mtumishi wa Bwana π€£π€£π€£π€£
Ni lazima kuweka tangawizi katika mapishi ya nyamaHamna shida! Nambie hilo tatizo...
Hili ni swali?Ni lazima kuweka tangawizi katika mapishi ya nyama
Haleluya!Yeah! Huwezi jua ya kesho, labda nitafungua kabisa na wewe utakua kondoo wangu!
Kwangu mishikaki ni, no no no, a big no. Huu mji watu wamevurugwa hela inatafutwa kwa namna yoyote bila kujali kitu chochoteInawezekana, mishikaki niliyokula sehemu nyingi barabarani huwa ni migumu sana
Dr siku zote najua wewe ni SerengetiHaleluya!
Nitakuwa kondoo mtiifu.
NdioHili ni swali?
Sijaelewa.Dr siku zote najua wewe ni Serengeti
Leo unachit chat kama Ngorongoroπ€
Sio lazima, ila tangawizi inalainisha na kuongeza utamu.Ndio
Nakubalii...!Sijaelewa.
Serengeti ndiyo vipedo?
Hapana, mimi ni Ngorongoro pure. Ile yenyewe. Cream pure.
Mfuasi wa Luther. Mtiifu daima.Nakubalii...!
Luther ndio niniMfuasi wa Luther. Mtiifu daima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho huwa inaniuma nakunywa supu nashindwa kuvuta nyama za kwenye mifupa kisa ngumu, nikicheki watu wananiangalia.
Nimecheka had mbavu zinauma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]USA river labda.
Acha bangi.
VizuriMartin Luther.
Mimi ni mKKKT.