mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Mbona hamniamini🤣Umeanza michezo ya Vincenzo Jr
😂😁😁😁Umeanza michezo ya Vincenzo Jr
Napenda nyama yako, laini...
Santo sana 😛🤠Napenda nyama yako, laini...
Mbona nasikia hizo jina moto ni mbaya kwa afya?Jina moto na tangawizi,
Hata utumbo unaosifika ni mgumu kwa hivyo vitu viwili unalainika faster
Ila hamna anayesema shida ni kitu gani.Mbona nasikia hizo jina moto ni mbaya kwa afya?
Tunajaza mimaji fwaa kwa uvivu wa kuichungulia mara kwa mara.Mimi ni mmojawapo ninayeongeza maji mengi
Nimechukua ujuzi hapa, Asante...!