Nyama ya kenge

Na ule ugumu? Anaivaga kweli? Labda kama ulikula kitoto chake
Wakati nilishawai kula Punda bila kujua, kijij kinaitwa Pwaga kipo njia ya Kilosa Kuelekea Mpwapwa......

Njaa ya mchana kutwa ilifanya tusigundue ila tulipoanza kushiba tukawa na wasiwasi mbona nyama imepoa ni ya Ng'ombe kweli? Asubui kuuliza wakatuambia kijiji hicho ni maarufu kwakula Punda.....
 
Mbona wengine mnakula pweza(octopus) anavyotisha hiyo mdudu



Mwendo wa pweza
 
Wahindu hawali ng'ombe
 
Mimi ni mnyalu,

Kwetu tunakula sana panya pori tunawaita mbeva, pia nyani na ngedere tumawala sana ila mbwa sijawahi kuona labda maeneo na maeneo.

Ila kumla nyani au ngedere hapana aisee naona kama nakula mtu.
 
Mkuu mbn apo sioni kitu cha kushangaa,
 
zamani nilikuwa namshangaa sana mtu ninayesikia anakula nyoka,chatu nk.

hahaa kama kuna video mliiona wanajeshi wa bongo wanamchuna chatu,ile.show haikuishia kwenye kuchukua ngozi,watu waliishi naye mpaka mifupa wakavyonza.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Kenge, nyoka NK vyafaa kuliwa maana vyote ni jamii ya samaki
 
kijiji kinaitwa mtakilachawa kwa nn wasile kenge? ni sawa tu wakila kenge..[emoji855][emoji855]
 
Kila mnyama aliwa yakhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…