Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Punda kama habebi mizigo/ kulima ni laini kama kitimoto.Na ule ugumu? Anaivaga kweli? Labda kama ulikula kitoto chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punda kama habebi mizigo/ kulima ni laini kama kitimoto.Na ule ugumu? Anaivaga kweli? Labda kama ulikula kitoto chake
ndiyo nataka kujuaHiyo Busta.
Hapo sawa huwenda. Nilimla mimi mgumu aise.Punda kama habebi mizigo/ kulima ni laini kama kitimoto.
Nyama ni nyama weweeee. Mbuzi wanawekaga wapi vile?na ule mtarimbo wAke mnakulaga?
Wakati nilishawai kula Punda bila kujua, kijij kinaitwa Pwaga kipo njia ya Kilosa Kuelekea Mpwapwa......Na ule ugumu? Anaivaga kweli? Labda kama ulikula kitoto chake
Mbona wengine mnakula pweza(octopus) anavyotisha hiyo mduduKijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka,mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
Mimi ni mnyalu,Mkuu ndege JOHN hakuna mnyama ambaye haliwi. Suala ni mnyama yupi analiwa na nani. Ukifika Nigeria au kwa wanaopakana na mbuga/misitu ndiyo utathibitisha ninachokwambia.
Kenge hata uzaramoni analiwa vizuri tu. Anajulikana kama mburu. Huko Mtwara wanaliwa panyapori, vyura wakubwa wanjano na kadhalika. Mbwa huliwa kimila uheheni, ubenani na uluguruni.
Sisi wangoni tunakula panyapori tunaowaita mbewa na wadudu wa aina mbalimbali. Upareni wanakula kobe na mayai yake; kilombero huko na kwawahadzabe wanaliwa ngedere na nyani na kadhalika na kadhalika.
Nyama ya KENGE 01 ni Sawa na ya Mamba mweusi au Kambale1 tuKenge ni mtamu sana mkuu ukipata anayejua kumtengeneza,ana mnofu kinoma,nlikula mishikaki ya kenge Chinatown nai,ladha kama kitimoto Kwa mbali.
Mkuu mbn apo sioni kitu cha kushangaa,Kijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka,mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya
Huku kivu wanaliwaKenge wanaoliwa ni kenge wa nchi kavu, wanaitwa mburu.
Kenge maji haliwi.
😁😁😁na ukijaribu tu kula kenge ...huachi...utaendelea kula daima
Kila mnyama aliwa yakheKijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge.
Sasa huu uchu unasababishwa na nini ni njaa tu au yaani watu kufikia Kula punda ama nyani ama panya