Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
- Thread starter
-
- #21
Unaweza mtafuna siku saba kwa wiki mfululizo?Unaijua kitimoto aka kasongo weyee!, tena upate na pepsi la baridi, kachumbari au bia kadhaa!, yule mdudu ni habari nyingine kabisa hafananishwi kabisa na yeyote!.
Kuku ni mtamu sana. Je unaweza mla kila siku kaka?achana na kuku wa kienyeji kijana, acha kabisa
Sawa ahsante, Mimi pia sipendi vya kuchinjwa napenda sana samakiNa samaki ndo viumbe wa mwanzo kabisa kabla ya mamalia wai walikuwepo..wanakula samaki/viumbe wenzao wadogo majini
😃😃😃 huna maskhara unapofikia kwenye kasongo. But kasongo is overatted sana...Ukiachana na mademu na pombe basi Kasongo ndio kiumbe aliyekula pesa zangu mingi anayefuata, nahisi ningeshajenga ghorofa kabisa!.
Ongezea na kuku wa kiswahiliTunatofautina naweza kula samaki mfululizo siku 365
Ladha yake ya kawaida sana halafu kwa sisi walevi hayashiki tumbo kabasa ni kama masponji tuKwanza yanavyotisha, hayawezi kuwa matamu🙆♂️
Samaki ana vipande vitatu eti kichwa, tumbo na mkia😀Minyoo..
Mimi pia nakula samaki sana.... Na nina sababu kwanza ni kabila letu ni wapenda samaki na nyama. Ila haiondoi ukweli ng'ombe ni kitu bora sanaTunatofautina naweza kula samaki mfululizo siku 365
Acha kunywa gongo shindii🤣🤣Ladha yake ya kawaida sana halafu kwa sisi walevi hayashiki tumbo kabasa ni kama masponji tu
My wenu mnampamba tu ili kuwarusha roho wasiotumiamy wetu kavaa hereni
Kweli shindi , kula nyama ya ng'ombe choma au ya kubanikiwa , vodka ile kubwa unaikata fasta tuAcha kunywa gongo shindii🤣🤣
Pampula uko vizuri.Kweli shindi , kula nyama ya ng'ombe choma au ya kubanikiwa , vodka ile kubwa unaikata fasta tu
Shindiii Shindiii pampula tena?Pampula uko vizuri.
Ndio ndio🤣Shindiii Shindiii pampula tena?View attachment 3583064
Hii nyama haishuki soko. Na inaitwa 'NYAMA' bila hata kumalizia kuiita 'NYAMA YA NG'OMBE'. Ila nyama nyingine lazima uitaje Kwa umahususi. E.g NYAMA YA MBUZI, NYAMA YA KONDOO etc.Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....
Tumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
Sio kila siku tu kuku wa kienyeji hata kila dakikaKuku ni mtamu sana. Je unaweza mla kila siku kaka?
Mdudu ni takataka tu , labda kama unamla kwa uhadimuunamjua mdudu au unamsikia kwa majirani