Nyama ya Ng'ombe ndio nyama bora duniani, haina mpinzani

Kumbe kuila kila siku, nikajua NDIO BORA ZAIDI!
 
Tumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
Kitimoto imeshika nafasi ya juu kabisa katika nyama pendwa ndio maanaa inauzwa bei ya juu kuliko ng'ombe na ukienda huikuti maana yakee ndio nyama pendwa zaidi ingawa ndio nyama inayoongoza kua na nyama nyingi, mafuta mengi na mifupa mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…