BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Wewe unajua Sato wa mwanza samaki mfupa Kama kidore,Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....
Tumpe NG'OMBE SALUTE KWA KUWA KITOWEO BORA DUNIANI
Hayo madude na mshale mbili au kaugali.. bucket mbili za flying fish zinaisha chaapNaunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Manyama ya hovyo hovyoHayo madude na mshale mbili au kaugali.. bucket mbili za flying fish zinaisha chaap
Tena awe mteteaachana na kuku wa kienyeji kijana, acha kabisa
Acha wivu em 😀Manyama ya hovyo hovyo
Eee hizo taka taka nguruwe ndio zimuache ng'ombe😅Tena awe mtetea
Ni mtamu vipi.. anamuacha ng’ombe parefu
Mimi ninao zaidi ya 50 nafuga nakuzalisha , tafuta siku nikiwa moshi uje nikuchinjie na kukuokea kabisaAcha wivu em 😀
Inaanza kuku halafu nguruwe na ni kwa sababu ya kuwa ndio nyama za bei rahisi zaidi dunianiNyama ya nguruwe/kitimoto ndio inaongoza kwa kuliwa duniani.
Acha mchezo na kitimoto mkuuInaanza kuku halafu nguruwe na ni kwa sababu ya kuwa ndio nyama za bei rahisi zaidi duniani
Weka data ya sasa , kuku imepanda sana kidunia , hii ilibebwa na population ya China ambako kwa miaka ya karibuni imeibukia kukuAcha mchezo na kitimoto mkuuView attachment 3583429
Weka data ya sasa , kuku imepanda sana kidunia , hii ilibebwa na population ya China ambako kwa miaka ya karibuni imeibukia kuku
Sawa kuku na nguruwe ndio nyama zenye thamani ndogo
Mimi ninao zaidi ya 50 nafuga nakuzalisha , tafuta siku nikiwa moshi uje nikuchinjie na kukuokea kabisa
Inaanza kuku halafu nguruwe na ni kwa sababu ya kuwa ndio nyama za bei rahisi zaidi duniani
Na hapo hata Waarabu hawali sasa. Wangekuwa wanatumia competition ingekuwa kali zaidi😁Sawa kuku na nguruwe ndio nyama zenye thamani ndogo