Nyie mnaona ni tamu kwa sababu mnakula kwa adimu ,mimi ng'ombe naweza kula kila siku nanisichoke , kitimoto upatikanaji wake ni rahisi mno unaweza mnunulia mbwa wako kila siku labda ule kwa hamu tu ,kata nyama kiti moto na ng'ombe weka kwenye sahani mpe mbw uone mbwa ataanza kula ipiAfu ya kuchoma inakuwaga unyama sana... Hivi kuna soup yake?😀😀
Kuna mtu alinambiaga et ukimchemsha ananukia kama mkojo
Yangekuwa matamu yangeuzwa ka BANGI!?Naunga mkono hoja ,Halafu kuna watu wanadanganya uma haya madude ndio matamu eti🚮
View attachment 3583022
Leo wings, kesho paja, mara breast, tumiguu nkKuku ni mtamu sana. Je unaweza mla kila siku kaka?
Ulaji wa kiti moto umebebwa na wachina ambayo ina watu wengi na ulaji wa ng'ombe umepunjwa na wahindi ambayo ina watu wengi kama China tuNa hapo hata Waarabu hawali sasa. Wangekuwa wanatumia competition ingekuwa kali zaidi😁
Ng’ombe simuwezi.. alinikifu mpaka na leo amenitoka kabisa.. sijawahi kummiss.. namla ili nisife kwa njaaNyie mnaona ni tamu kwa sababu mnakula kwa adimu ,mimi ng'ombe naweza kula kila siku nanisichoke , kitimoto upatikanaji wake ni rahisi mno unaweza mnunulia mbwa wako kila siku labda ule kwa hamu tu ,kata nyama kiti moto na ng'ombe weka kwenye sahani mpe mbw uone mbwa ataanza kula ipi
Sasa ulaji wa nyama zote si utakuwa unabebwa na Wachina tu mkuu?!Ulaji wa kiti moto umebebwa na wachina ambayo ina watu wengi na ulaji wa ng'ombe umepunjwa na wahindi ambayo ina watu wengi kama China tu
Hahaha mtura nayo ni kitu nimeshindwa kula😀Mpaka na mtura lakini wapi😅
Fanya hili zoezi kama una mbwa mpe sahani mbili ya kiti moto na nyama ya ng'ombe , uone ataanza kula nyama ipiNg’ombe simuwezi.. alinikifu mpaka na leo amenitoka kabisa.. sijawahi kummiss.. namla ili nisife kwa njaa
Ila kuku naweza kuamka tu nikamiss wings
Sina mbwa, nawaogopaFanya hili zoezi kama una mbwa mpe sahani mbili ya kiti moto na nyama ya ng'ombe , uone ataanza kula nyama ipi
Ni kweli ila US nao wanakula ng'ombe mnoSasa ulaji wa nyama zote si utakuwa unabebwa na Wachina tu mkuu?!
Una mapaka😅Sina mbwa, nawaogopa
😀😀 siwezi ishi na mifugo ndaniUna mapaka😅
Mapaka nayachukia ni masaliti , mbwa nampenda sana😀😀 siwezi ishi na mifugo ndani
Mkuu hembu nenda Zoo umpe Simba nyama iliyopikwa na mbichi uone atakula ipi.Fanya hili zoezi kama una mbwa mpe sahani mbili ya kiti moto na nyama ya ng'ombe , uone ataanza kula nyama ipi
Nyama mbichi , tuendeleeMkuu hembu nenda Zoo umpe Simba nyama iliyopikwa na mbichi uone atakula ipi.
Awajue sasa hao samaki?? Mwenzio atafikiria Kibua kambale na Sato hao ndio samaki kwake. Samaki watamu hata huyo mvuvi hamli yaani hana huo uwezo wa kumla.. Tatizo lipo hapo.Hivi chakula Cha samaki ni Nini mkuu.
Manaake samaki anafaida nyingi sana mwilini kuliko nyama ya ng'ombe
Watu wanakula kitimoto kwa nadra ndio maana wanaona ni kitamu. Ila pewa kila siku... hawatoboi. Ila ng'ombe unakunywa supu asubuhi mchana na ugali usiku na wali na unafanya hivyo wiki nzima.....Nyie mnaona ni tamu kwa sababu mnakula kwa adimu ,mimi ng'ombe naweza kula kila siku nanisichoke , kitimoto upatikanaji wake ni rahisi mno unaweza mnunulia mbwa wako kila siku labda ule kwa hamu tu ,kata nyama kiti moto na ng'ombe weka kwenye sahani mpe mbw uone mbwa ataanza kula ipi