Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

Ukitaka kujua huyu ni mdudu chukua nyama yake weka kwenye bakuli changanya na Coca-Cola original baada ya nusu saa au saa 1 utakuja kunishkuru utakachokikuta humo View attachment 1883754View attachment 1883755View attachment 1883757
Mkuu pinga kwa ushahidi unaofanana na tukio.

Wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa hawali nguruwe mbichi.

Mfano wako uliotoa ni mfano ambao umetolea kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichhi haijachomwa.

Hapa tunakosa kufananisha kwa sababu wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa,na wewe unafanya ushahidi kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichi.

Vipi unafananisha baina ya nyama mbichi na iliyopikwa kwa madhara ?

NB : imani yangu naamini nguruwe haramu kuliwa.
 
Mara paaap! inatibu corona, sijui itakukuaje.
 
Hata wasiokula, ili waende mbinguni, ni lazima wafe.
 
...au uipige ule muda wa kutoka kanisani Jumapili mkiwa na familia.
Pembeni una K vant au Fanta baridi.
Utakuja nishukuru
Kweli kabisa mkuu, raha sana kula ukiwa na wana
Unasema: ni tamu kwa siku moja tu!. mkuu hapo kama unaikashifu, kuifanyia kitimoto ni nyama ya kichawi(nguvu ya giza)
Hapana mzee, hapo namaanisha kula siku za weekend
 
Fanya kwanza utafiti hayo magonjwa hayawapati Muslims na Wasabato?

Ila kitimoto rosti na ndizi ukionja huwezi kuacha
 
Pale Kinondoni Manyanya karibu na twitter pana fundi anajua kuitengeneza hii kitu acha kabisa.
Ile mchana nikitoka kazini napiga simu nikiwa njiani halafu namdanganya kuwa nina matatizo ya meno, kwa hiyo nitengenezee kitu bila mifupa kilo moja, kachumbali pilipili kwa wingi.

Nikifika nakaa kwenye meza ya peke yangu, namwambia fundi naomba niletee kwanza safari ya baridi hapa, basi na yeye anajisikia vizuri kweli kuitwa fundi.
Naendelea kushusha safari huku tunaongea habari za mikeka huku yeye anapakua pakua kule.

Dakika chache badae mzigo mezani.
Basi unaushusha taaaratiiiibu then unaendelea kuzipiga safari lager za baridi.

Hapa naongea huku udenda unanitoka na nipo mkoani, huku kilo ya mdudu ni sh 7,000 ila hakuna mafundi wazuri wa kutengeneza kama pale.
 
Kwa upande wangu Mungu huleta vitu vingine kua mtihani kwa wanadamu, je utatii au hutotii, sina hakika na madhara yake ila naamua kuigopa hii nyama kwa kufwata alichoamrisha Mola
 
Religious objections kwenye kitimoto ni kwasababu dini nyingi asili ya nchi zao ni za ukanda wa joto. Pia ndani ya hizo tamaduni ambazo zilianzisha dini hakukua na teknology ya kukausha na kusindika ambayo ingeweza kutunza kitimoto bila kuharibika

So mpaka saizi upikwaji wa kitimoto chini ya nyuzi joto 145 si salama kiafya, so jamaa walichokifanya ni kupiga ban ulaji wa kitimoto na kusema mungu hataki

Lakini katika ulimwengu huu ambao umeendelea kitechnology wenye fully of electricity power, ma-fridge na regulators kwa ajili ya vyakula, kitimoto ni fresh tu. Ni salama kama nyama zingine isipokua isiyookwa kwa nyuzi joto chini ya 145
 
Kwa upande wangu Mungu huleta vitu vingine kua mtihani kwa wanadamu, je utatii au hutotii, sina hakika na madhara yake ila naamua kuigopa hii nyama kwa kufwata alichoamrisha Mola
baby zu nakuona upo kwenye NIQAB(ansar sunni) basi uagope na mengine si ya kitimoto peke yake.
 
scientifically pork is red meat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…