STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Ngurue anavijidudu ambavyo hata wanyama wa nyama nyekundu hana amabavyo hata uchemshe kwa mda gani havifi ndio ivyo vinavyosbabisha mafunza mwiliniMkuu pinga kwa ushahidi unaofanana na tukio.
Wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa hawali nguruwe mbichi.
Mfano wako uliotoa ni mfano ambao umetolea kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichhi haijachomwa.
Hapa tunakosa kufananisha kwa sababu wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa,na wewe unafanya ushahidi kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichi.
Vipi unafananisha baina ya nyama mbichi na iliyopikwa kwa madhara ?
NB : imani yangu naamini nguruwe haramu kuliwa.
Sio majungu mkuu ni kweliwe kijana acha promo kama matangazo ya kijasiliamali
Coca yenyewe inapigwa majungu kua ni unhealth, sasa utahitimishaje kua outcome ya hilo jaribio ni kutokana na madhaara yaliyopo kwenye pork na io coca yenyewe?
huyo muongoMbona picha umeweka ya moyo na utumbo. Kama ni wa mbuzi
Sidhani pia kama hata dini ya Cristo inakubali kuliwa kwa kiumbe hikiReligious objections kwenye kitimoto ni kwasababu dini nyingi asili ya nchi zao ni za ukanda wa joto. Pia ndani ya hizo tamaduni ambazo zilianzisha dini hakukua na teknology ya kukausha na kusindika ambayo ingeweza kutunza kitimoto bila kuharibika
So mpaka saizi upikwaji wa kitimoto chini ya nyuzi joto 145 si salama kiafya, so jamaa walichokifanya ni kupiga ban ulaji wa kitimoto na kusema mungu hataki
Lakini katika ulimwengu huu ambao umeendelea kitechnology wenye fully of electricity power, ma-fridge na regulators kwa ajili ya vyakula, kitimoto ni fresh tu. Ni salama kama nyama zingine isipokua isiyookwa kwa nyuzi joto chini ya 145
Kilimanjaro... Tumekula hadi utumbo lakini hatuoni hayo madhara uchwaraKuna sehemu najua hawatupi kitu ila tangu nawajua wanakufa kutokana na uzee tu na si hayo maradhi
Hujawai kula nguruwe mkuu?daaahKisayansi sijui kama imethibitishwa ya kwamba mnyama asiye cheua ana madhara na yule ambaye hajapasuka kwato uharamu au unajisi wake unasababishwaje na kutokupasuka kwato. Wala samaki asiye ma magamba/mapezi hiyo inamsababishiaje yeye kuwa haramu
Japo nguruwe sijawahi kula wala bata sijawahi kumtia mdomoni.
Ni hayo tu kwa sasa
Hiyo picha ya moyo uliyoiweka hapo ni conspiracy tu kuwatisha walaji, haiwezekani moyo uharibike vibaya hivyo kuliko muonekano wa mapafu ya mtu anayevuta sigaraSio majungu mkuu ni kweli
Hivi kiimani imetumika kigezo gani kubatilisha?Mkuu pinga kwa ushahidi unaofanana na tukio.
Wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa hawali nguruwe mbichi.
Mfano wako uliotoa ni mfano ambao umetolea kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichhi haijachomwa.
Hapa tunakosa kufananisha kwa sababu wanaokula nguruwe wanakula akiwa amepikwa,na wewe unafanya ushahidi kwa nguruwe ambaye nyama yake mbichi.
Vipi unafananisha baina ya nyama mbichi na iliyopikwa kwa madhara ?
NB : imani yangu naamini nguruwe haramu kuliwa.
Allah works in mysterious waysMara paaap! inatibu corona, sijui itakukuaje.
acha kupotoshaNgurue anavijidudu ambavyo hata wanyama wa nyama nyekundu hana amabavyo hata uchemshe kwa mda gani havifi ndio ivyo vinavyosbabisha mafunza mwilini
Kisusio 😊Kilimanjaro... Tumekula hadi utumbo lakini hatuoni hayo madhara uchwara
Hizi imani zinawanyima vitu vitamu sana🤣🤣Na wakorea pia
Mkuu lakini wengi wanaotubainishia madhara ya nyama ya nguruwe wengi ni wanasayansi wasiokua na dini kwao nguruwe ni kilaji kikubwa au wale wakikatoliki kwao nguruwe sio haramu.Ni kwasababu ya itikadi za kidini mkuu. Kuku na samaki hawana makandokando ya kidini ndio maana huwezi kuwasikia wakisemwa.
Dini ya cristo kweli haikubali ila ya kikristo inaruhusiwa kabisa cha mhimu upate sehemu wanapojua kuitengeneza kweli kweli ule nusu na ndizi mbili zilizokauka vizurSidhani pia kama hata dini ya Cristo inakubali kuliwa kwa kiumbe hiki
Kambale na pweza hawana magambaNi kwasababu ya itikadi za kidini mkuu. Kuku na samaki hawana makandokando ya kidini ndio maana huwezi kuwasikia wakisemwa.
Nyama ya nguruwe ni tamu kwa wote jaribu uoneKilicho kitamu kwa mtu A, Chaweza kuwa si kitamu kwa mtu B; Hapo hakuna mjadala
Ndio ni kweli, Soma kwa kina hapa chini👇
View attachment 1883750
Zifahamu faida, madhara ya kula ‘kitimoto’
Nguruwe ni mnyama anayeliwa na asilimia 38 ya watu wote duniani ambapo walaji wake wakubwa ni nchi Magharibi na Kusini mwa Asia, Ulaya, kusini mwa Jangwa la Sahara, America ya Kaskazini na Kusini, na eneo la Oceania.
Faida za nyama ya nguruwe kitaalam:
1. Ina vitamin muhimu katika mwili wa binadamu; ambazo ni B1, B6 and B12
2. Ina madini ya chuma ambayo husaidia kuimarisha mifupa.
3. Inaimarisha ngozi yako na kuifanya iwe laini.
4. Ina madini ya magnesium kwa wingi yenye faida kwa binadamu.
5. Ina protein ya kutosha inayosaidia ulinzi wa mwili.
6. Ina mafuta yanayotoa nguvu mwilini.
Madhara ya kula nyama ya nguruwe:
Licha ya faida zilizotajwa hapo juu, pia kuna hasara ya kutumia nyama hii ambayo ina sumu ya carcinogen inayosababisha kansa.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani ( WHO) na The International Agency for Research on Cancer!! utafiti unaonyesha kuwa ukila nyama hiyo kila siku gramu 50 uwezekano kupata kansa unaongezeka kwa asilimia 18.
Pia inasababisha homa iitwayo Swine Flu kwa binadamu ambayo inatokana na virusi vinavyosababisha mafua kwa binaadamu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanyiwa na Centers for Disease Control and Prevention inaonyesha virusi vya Influenza H1N1 na H3N2 vinavyotokana na kiti moto, kusababisha maradhi ya mlipuko kwa nchi za bara la Amerika.
Vilevile, nyama ya nguruwe ina minyoo wajulikanao kwa jina la trichinella worm ambao ni vigumu kufa kwa joto hata la Centigrade 100.
Utafiti uliofanyiwa na WHO mwaka 1988, ulionyesha kitimoto iliyopiwa kwa joto la C. 104, asilimia 52.37 ya trichinella worm huwa wanabaki hai.
Wadudu hao wakiingia mwilini mwa binadamu husababisha ugonjwa ujulikanao kwa jina la trichinosis; ambao huwa na dalili zifuatazo:
(i) Homa kali
(ii) Kichwa kuuma
(iii) Kukosa nguvu
(iv) Maumivu ya nyama za mwili
(v) Macho kuwa rangi ya pink (conjunctivitis)
(vi) Kuvimba uso na kope
(vii) Kudhurika na mwanga
(viii) Kitimoto ina virus aina ya Hepatitis E virus (HEV) ambaye husababisha homa ya ini aina E
Wadudu wengine katika kitimoto ni:
(i) Virusi vya Nipah virus
(ii) Menangle virus
(iii) Viruses katika kundi la Paramyxoviridae
Wote hao huwa wana madhara kwa binadamu
Nyama ya nguruwe husababisha maradhi yanayokianza na madawa yenye kupambana na vimeleo vya magonjwa, yaani ‘Antibiotics’ na kwa mujibu wa WHO nyama ya hiyo pia ina minyoo aina ya Taenia solium.
Minyoo hii hutokana kutopikwa vizuri nyama hiyo. Minyoo hii ikiingia mwili wa binadamu husababisha matatizo ya mfumo wa fahamu (central nervous system) iitwayo neurocysticercosis, na kusabisha kifafa.
Asimilia 3 ya wagonjwa wenye kifafa huwa ni wale ambao hushambuliwa na minyoo hii ipatikanayo kwenye nguruwe.
Watu milioni 50 duniani wanaopata kifafa huwa ni walaji wazuri wa nguruwe.
Chanzo: globalpublishers