Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

Hivi kiimani imetumika kigezo gani kubatilisha?
Kigezo kwa upande wa imani ya Dini ya kiislam cha kuharamisha nyama ya nguruwe, ni kigezo kilekile walichotumia wanasayansi na kugundua kuwa nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya ya mlaji.
 
Kigezo kwa upande wa imani ya Dini ya kiislam cha kuharamisha nyama ya nguruwe, ni kigezo kilekile walichotumia wanasayansi na kugundua kuwa nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya ya mlaji.
sayansi inakataza ulaji wa kitimoto unauhakika?
 
Baadhi ya imani za dini Ng'ombe kwao ni haramu hivyohivyo wengine nyoka ni bei kali kuliko mbuzi na nguruwe kule iringa Bei ni Chee Ila dar nguruwe bei juice, inathamani kwa watumiaji swala la madhara watu hawalitambui.
 
Mbona mimi nakula zaidi ya miaka 50 bado niko vizuri. Achana na primitive mythology
 
Baadhi ya imani za dini Ng'ombe kwao ni haramu hivyohivyo wengine nyoka ni bei kali kuliko mbuzi na nguruwe kule iringa Bei ni Chee Ila dar nguruwe bei juu, inathamani kwa watumiaji swala la madhara watu hawalitambui.
 
Hivi kiimani imetumika kigezo gani kubatilisha?
Katika mambo ya jumla sababu ni kuwa mtihani kwetu (majaribio).

Eidha tuwache tufaulu,au tule tufeli mtihani.
 
Ngurue anavijidudu ambavyo hata wanyama wa nyama nyekundu hana amabavyo hata uchemshe kwa mda gani havifi ndio ivyo vinavyosbabisha mafunza mwilini
Kwa nini isichukuliwe nyama ambayo imechoma alafu ikatiwa kokacola tuone kama hayo mambo yatatokea ?

Kwa sababu nyama mbichi wala nguruwe hawali,hivyo haiwezekani ikatumika nyama mbichii kwa sababu hakuna anaekula.
 
Ifike mahali hyu mnyama apewe cheti Cha nishai
 
Ina madhara mwilini
 
Ingekuwa mdudu ana ugonjwa mimi ningeshakufa. Nimeanza kula mdudu mwaka 1995 nikiwa darasa la kwanza. Nilivyofika form one shule yetu ilikuwa na nguruwe na mimi nilikuwa in charge wa nguruwe Mbeya huko. Nimekula vigozi, nyama, mbavu hadi utumbo.
 
Nyama Ya Kondoo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…