Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Na teknolojia zote zilizopo duniani bado matokeo ni hafifu tu ?, Kile kisa cha nyambizi ya Russia iliyopotea kinaelekea kulingana na hichi.

...bado 'field' ya teknolojia ya majini inahitaji ugunduzi mpya zaidi na akili kubwa.

T14 Armata

Sikujua kama kuna wazungu wapumbavu, how could you risk your life kufanya risky tour kwa kutumia chombo ambacho hakijafanyiwa test za kutosha kuelekea huko?upumbavu wacha wafe
 
Ushawahi kuwemo ndani ya submarine?
Nishakuwemo mle ndani so naongea kitu nnachojua we Hujui lolote.
Kaa kimya.
 
Sikujua kama kuna wazungu wapumbavu, how could you risk your life kufanya risky tour kwa kutumia chombo ambacho hakijafanyiwa test za kutosha kuelekea huko?upumbavu wacha wafe
Nani kakuambia hakijafanyiwa test za kutosha ?
 
Ushawahi kuwemo ndani ya submarine?
Nishakuwemo mle ndani so naongea kitu nnachojua we Hujui lolote.
Kaa kimya.
Hahahahaaaa,acha ujuaji usio na msingi!
Hebu tueleze hapa,unamaana gani kusema Submarine huwa inapanda juu kupata hewa?
Nuclear submarine inaweza kukaa majini miaka,kikwazo ni chakula tu!
Leta hoja hapa na sio maneno ya kanga!
 
Kumbe ni ada ya kwenda mawinguni kwa muumba.
 
Kwa sababu watasaka chanzo, inasababisha huo usiwe uzembe nadhani.Na kwasababu wanasakaga chanzo bila shaka wao ni smart sana.Tumetofautiana kufikiri.
 
Mtu anahatarisha maisha yake na huku akitumia karibu mil 600 kwenda kuangalia screpa la titanic,aisee wazungu[emoji1373]
Utaambiwa wana akili sana, ila kwa kipimo cha uendawazimu hiki ni mojawapo.Wazungu hatuwajui pengine walichokuwa wanatafuta wala sio tuelezwacho.
 
Mwana kulifaind, mwanakuligeti
 
Pengine wana siri wanaificha.Hatuwezi ambiwa kila kitu.Wenye dini watasema Mungu hachunguziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…