Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen


Kama ndege zilivyokuwa hazipati ajali tena?
 
Ndo bas tena
 
Kama ndege zilivyokuwa hazipati ajali tena?
Hakuna kitu kinatengenezwa na binadamu kisiwe na shida. Ndio maana ajali ya ndege huwa shirika la kimataifa la kusimamia mambo ya ndege au waliotengeneza ndege uwa wanatuma wachunguzi wao kusaidiana na nchi husika ili kubaini chanzo cha ajali kama ni tatizo la mfumo wa ndege warekebishe. Ni zoezi endelefu.
Hiki chombo sio safari yake ya kwanza kishapiga mbizi sana na bado kilikuwa kwenye xperimental phase na wao walijua hatari hizo kila aliyekipanda alitakiwa kusign makubaliano tena yameorodhesha hatari zilizopo na jinsi unavyoweza kufa.
 
Ni kiburi chao tu hao US na Canada. Wangeomba msaada Russia hii ishu ingekuwa imeisha ndani ya 24hrs.

Nakumbuka ile Drone ya US iliyoangushwa na Russia juzi juzi hapa na ikazama huko chini ya bahari.
Russia ilimchukua masaa yasiozidi 12 kui locate, kui-ibua na kuondoka nayo.

Vitu vingine wawe wanaomba msaada tu.
 
Na hapo ndipo mzungu anapotupiga bao. Sie kauli ya kijinga ya mipango ya mungu ndio inatuangusha
 
Wameshatoka kwenye Territorial Waters wapo kwenye International Waters, kupewa msaada ni hiari ya nchi.

Nchi itakayotoa msaada maana yake itakubali kutumia kodi za wananchi kufanya rescue mission nje ya mipaka ya nchi kuokoa billionaires.

OceanGate kama kampuni ya billionaires walipaswa kuwa na rescue team ili likitokea tatizo wasaidiwe na kampuni yao wenyewe.
 
Na hapo ndipo mzungu anapotupiga bao. Sie kauli ya kijinga ya mipango ya mungu ndio inatuangusha
Hata ajali ya basi ya jana iliyoua watu kule Njombe nimemsikia sijui boya gani yule ana kicheo cheo hivi mabegani akisema eti kazi ya Mungu haina makosa wakati wanasema kampuni iliyohusika ndani ya mwezi huu tu hiyo ni ajali yao ya nne kama siyo ya tano; na wanajulikana kwa mwendo kasi na kutojali sheria za barabarani.

Badala ya kutafuta chanzo cha ajali na kukirekebisha eti anasingiziwa Mungu ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
The curse of Titanic! Kuna mengi mno yamesimuliwa humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia watz kwa mumsingizia mungu mambo ya ajabu, sidhani kama hiyo pepo tutaiona. Watz wote ni motoni tuu maana mungu ametula akili lakini hatuwezi zitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ