Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

The curse of Titanic! Kuna mengi mno yamesimuliwa humo

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa walijilaani Kwa kusema meli yao ni zaidi ya Mungu alivyoviumba vyote kuwa haiwezi zuiliwa na chochote kwenye bahari yaani kina cha Bahari si chochote Kwa meli hiyo

Pengine wakiokolewa hao waliopotea watasema chochote juu ya hasira ya Mungu
 
Mungu mpaka leo bado ana hasira tu hajasamehe? Aliwaua karibu wote kwenye meli ile ina maana mpaka leo hajaachilia tu? Mbona ni mwingi wa rehema?

Ina maana hata Wanaakiolojia wanaochimbua mabaki ya Sodoma na Gomora nao kitawapata cha kuwapata?
Mungu ameshindwa samehe saba mara sabini kama alivyo mtuma mwanae wa pekee yesu kristo aje atuhabarishe kuhusu hilo!!
 
Ni mwaka 1912 ndio iliamua kujizamia zake!!
 
Jamaa walijilaani Kwa kusema meli yao ni zaidi ya Mungu alivyoviumba vyote kuwa haiwezi zuiliwa na chochote kwenye bahari yaani kina cha Bahari si chochote Kwa meli hiyo

Pengine wakiokolewa hao waliopotea watasema chochote juu ya hasira ya Mungu
Ndo imetoka,wameshakufa hao.Kuja kuwalocate inaweza chukua miaka .
 
Upo unatumia simu ya mzungu kumsema mzungu
 
Umeiweka kiimani sana lakini hakuna jipya lilofanyika ndani ya Titanic la kumkasirisha Mungu kama ulivyowasilisha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…